Mrisho Mpoto: Kwanini wanamtukana Mke wangu?

Watu wajinga ndio wanaofanya huo ujinga, binafsi sijawahi kukaa nikamtegemea msanii kwenye mabadiliko.

Yani watanzania M60+ tuwategemee wasanii ambao hawafiki hata 100k eti watusemee changamoto zetu au watuunge mkono, kwangu huu ni ujinga kwasababu kwa wingi huo tunayonguvu kuliko hao wasanii.

Kwasasa sanaa ni biashara sio tena jukwaa la kusemea watu, ukiona unaowito wa kuwasemea watu, studio zipo wadau tupo tutakuchangia uingie studio.
Watz wengi ni wapiga domo, vitendo F
 
Hii ndiyo post yenye Akili Kubwa (iliyosema Ukweli na Uhalisia) niliyoisoma hapa zingine naziona zimejaa tu Chuki Binafsi, Hasira na Wivu kwa Mafanikio ya Mtu.
 
Kuna watu wa muhimu sana wamefariki mkewake sizani kama ana huo u special
 
Angenyamaza kwanza msiba uishe. Ila hii wake up call kwa CCM na wachawa wote. Mnaweza kupata sababu kwa nini askari magereza wa Lissu wanaziba nyuso na wale mashahidi wa uongo wanataka wasionekane
 
Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake

Hiyo yote ni ishara kubwa kwamba taifa letu limegawanyika. Watu wanaumizwa, watu wanatekwa, wanateswa nk...

Watawala wapo kimya wanaendelea na maisha yao, hakuna kiongozi anayekemea dhuluma, chuki, utekaji na kila aina ya uovu..

Wale wanaowaimbia au kusifia watawala ambao wapo kimya wakati mambo ya utekaji, utesaji, mauaji na rushwa yanaendelea wao pia wamekuwa kama maadui kwa wanaoteswa.....

Ndiyo maana leo hao wanaosifia au hata kuwa upande wa watawala wanapopata majanga (msiba, ajali nk) kuna baadhi ya watu (hasa ambao wameumizwa au kuguswa na utekaji, utesaji au mauaji nk) nao hufurahia.

Hali hii ni mbaya sana kwa taifa letu, tunahitaji kuwa pamoja kwa maana sisi sote ni ndugu wa mama Tanzania.

Mpasuko huu hauleti faida yoyote kwa taifa.

Tunahitaji viongozi wenye hekima ya kuwaunganisha watu na si kuwagawa kwa kujenga chuki na kisasi kati yao.
 
Mshamba tu huyu asiwaumize kichwa, Afe na yeye.
 
.......Hawatapatikana kama tusipomsuport Lisu na CHADEMA ya NRNE...
 
Watu wajinga ndio wanaofanya huo ujinga, binafsi sijawahi kukaa nikamtegemea msanii kwenye mabadiliko.

Yani watanzania M60+ tuwategemee wasanii ambao hawafiki hata 100k eti watusemee changamoto zetu au watuunge mkono, kwangu huu ni ujinga kwasababu kwa wingi huo tunayonguvu kuliko hao wasanii.

Kwasasa sanaa ni biashara sio tena jukwaa la kusemea watu, ukiona unaowito wa kuwasemea watu, studio zipo wadau tupo tutakuchangia uingie studio.
unajua mkate ulipundia serikali ya ufaransa au na wewe ujui maana source.
 
Attachments

  • FB_IMG_17525273699804737.jpg
    FB_IMG_17525273699804737.jpg
    496.2 KB · Views: 15
Back
Top Bottom