Mrejesho wa Pesa nilizozipata kwenye ATM

Mrejesho wa Pesa nilizozipata kwenye ATM

Muda mwingine ushamba unasaidia, mimi ni mfanyakazi wa benki, kwa security iliyopo sehemu za bank na kwenye ATM huwezi fanya kitu usijulikane nn labda wahusika waamue kupuuzia tuu. Kuna jamaa alishawai kukuta simu kwenye kaunta ya bank teller baada ya mteja wa awali kuisahau, yule jamaa akaichikichia. Baada ya muda yule jamaa akarudi na madai ya kuwa kasahau simu yake, watu wa security wakarudi kwenye cctv camera, wakamuona jamaa wakarudi muda wa transaction wakapata detail zake, jamaa kupigiwa simu akakataa kuwa hajachukua simu, meneja wa bank akaamua kumpigia mwajiri wa jamaa maana wakati anafungua akaunti alitumia barua ya mwajiri. Mwajiri akaomba ushahidi wa video akaamua kumfukuza kazi jamaa kwa kutokuwa mwaminifu na kwa kuchafua jina la kampuni.
Technolojia ni kitu kingine kabisa mkuu, yaani unumbuka mchan kweupee
 
Basi waambie wasaidizi wako watenge muda katika ratiba yako ngumu ili uwe unapata japo nafasi ya kujumuika na wanjukwaa huku huku mkuu, tunakukumbuka sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unataka kunifurahisha mkuu, lakini mi naona wapo wengi sana wanaofanya Jf iendelee kuwa na VIBE kama LOTE
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unataka kunifurahisha mkuu, lakini mi naona wapo wengi sana wanaofanya Jf iendelee kuwa na VIBE kama LOTE
Ni kweli JF ina members wengi wanaofanya iendelee kukata mawimbi, lakini wapo baadhi ambao presence yao inakua na impact kubwa kutokana na michango yao na absence yao inakua noticed waziwazi, miongoni mwa hao ni wewe pia Jenerali

Kama nasema uongo ajitokeze mtu humu aitishe kura ya maoni kuhusiana na hilo uone kama hautakuwemo kwenye kumi bora mkuu
 
Nilipongezwa na kushukuriwa kwa hatua niliyochukua na kwamba imenijengea imani. RM wangu akanambia yapo matukio machache ya namna hiyo yanatokea na mara zote watu huwa wanasepa na pesa lakini huishia kujulikana na kuaibika maana camera na technolojia zingine zikitumika itajulikana tu. Akasema kuna Mbunge tena alishawahi kua Waziri miaka ya nyuma aliumbuka baada ya kuondoka kwenye ATM na pesa zisizokua zake!!!
Mkuu uliyesahau pesa zako ATM tuwasiliane uweze kuzichukua - JamiiForums

Mkuu umeongea point ambayo nilikuwa naifikiria. Kumbuka nilikuambia u muungwana na akili na ulipaswa kuwa TIS kwa manufaa ya taifa.

Sasa maswali yangu ni kwamba, hiyo benki uliyokwenda, wameshindwaje ku-trace kuona ni nani alifanya withdrawal kwenye hiyo ATM kabla yako? Na swali la pili, ina maana hiyo ATM cubicle haina camera, ili wamtambue huyo mtu kama walivyomtambua huyo mbunge?

Kwa nini benki wanafanya ionekane kama ni jambo gumu ku-mtrace mtu aliyesahau hizo fedha wakati wanaweza kujua ni nani kwa kuangalia amount withdrawn na time na ATM machine iliyotumika na kuweza kujua ni account gani hizo fedha zilitoka, na hiyo account ni ya nani? Ni rahisi wao kujua hilo kwa kuangalia tu nani alifanya withdrawal kabla yako, na kuna advantage kwamba wana amount withdrawn.
 
Ni kweli JF ina members wengi wanaofanya iendelee kukata mawimbi, lakini wapo baadhi ambao presence yao inakua na impact kubwa kutokana na michango yao na absence yao inakua noticed waziwazi, miongoni mwa hao ni wewe pia Jenerali

Kama nasema uongo ajitokeze mtu humu aitishe kura ya maoni kuhusiana na hilo uone kama hautakuwemo kwenye kumi bora mkuu
Hapana mkuu ucnipe ma vyeo ya namna hyo aisee japo nashukuru kwa kukubali na kuutambua uwepo wangu
 
Mkuu umeeongea point ambayo nilikuwa naifikiria. Kumbuka nilikuambia u muungwana na akili na ulipaswa kuwa TIS kwa manufaa ya taifa.

Sasa maswali yangu ni kwamba, hiyo benki uliyokwenda, wameshindwaje ku-trace kuona ni nani alifanya withdrawa kwenye hiyo ATM kabla yako? Na swali la pili, ina maana hiyo ATM cubicle haina camera, ili wamtambue huyo mtu kama walivyomtambua huyo mbunge?

Kwa nini benki wanafanya ionekane kama ni jambo gumu ku-mtrace mtu aliyesahau hizo fedha wakati wanaweza kujua ni nani kwa kuangalia amount withdrawn na time na ATM machine iliyotumika na kuweza kujua ni account gani hizo fedha zilitoka, na hiyo account ni ya nani? Ni rahisi wao kujua hilo kwa kuangalia tu nani alifanya withdrawal kabla yako, na kuna advantage kwamba wana amount withdrawn.
Thanks for the compliments mkuu

Hayo yote yatafanyika nadhani mimi tu muda wangu ndio ulikua very limited nisingeweza subiri hapo Bank hadi yote hayo yakamilike ndio maana wakanambia ni deposit that money kwenye account yangu halafu watanijulisha, nadhani process zoote hizo zinataka kamuda kidogo

Watakapotaka kuzichukua frm my a/c nitataka nijue kila kitu na ikiwezekana nionyeshwe muhusika nijiriridhishe kama ni yeye

Muda ule niliokua bank waliweza kuiona ile transction na waka high light info za wanaedhani ndio alifanya hiyo transaction

Waliniambia jamaa alitoa laki nne mara mbili na kama ni yeye basi hizi nne za mara ya pili ndio aliziacha

Lakini mpaka wa confirm na issue zingine kama camera n.k ili kujua kama kweli pesa ni za huyo jamaa
 
Majuzi nilileta uzi humu kwamba kuna pesa nimezipata kwenye ATM nilipokwenda kufanya muamala usiku. Pesa hizo ziliachwa na mtu ambaye naamini alikua amezidiwa na kilevi

Nilipata ushauri mwingi wa aina tofauti kuhusiana na ama kuzitumia au kumrejeshea pesa hizo muhusika ambaye kwakweli simjui hadi muda huu. Nimeuthamini sana sana ushauri wote niliopewa na wadau humu jukwaani na hata PM, na naomba Mola Awabariki wote waliotoa maoni kwani naamini walikua na nia njema hata wale walioniponda kwamba eti hii ni chai

Jana Jumatatu nilikwenda kuonana na Relationship Manager wangu na akaniambia wakati wanashughulikia hilo jambo niziweke hizo pesa kwenye account yangu wao wata zi block/hold na watu wa reconciliation watajua ni za wapi na kama kuna complain yoyote na mwisho wa siku watanijulisha
Nilipongezwa na kushukuriwa kwa hatua niliyochukua na kwamba imenijengea imani. RM wangu akanambia yapo matukio machache ya namna hiyo yanatokea na mara zote watu huwa wanasepa na pesa lakini huishia kujulikana na kuaibika maana camera na technolojia zingine zikitumika itajulikana tu. Akasema kuna Mbunge tena alishawahi kua Waziri miaka ya nyuma aliumbuka baada ya kuondoka kwenye ATM na pesa zisizokua zake!!!

Bado sijapigiwa simu wala kwenye simu yangu hakujaingia ujumbe wowote wa kuonyesha kufanyika kwa muamala wowote lakini nahisi nimeutua mzigo flani uliokua unanipa wasiwasi na shauku ambayo siwezi kuilezea

Mkuu uliyesahau pesa zako ATM tuwasiliane uweze kuzichukua - JamiiForums
mmmh mkuu kujulikana huko vp inamaana ww ulifanya muamala hapo wakutoa au baada yakuziona tuu ulichukua na ukasepa?
 
Ila mkuu km kweli unamaanisha, kama vipi niletee nafanya Project ya elimu kwa charity na non - profit oriented itakuwa ni sadaka sahihi sana.

Ama mkuu ongeza sh 350,000 iwe sh 750,000 niletee Printer ya Epson ama ongeza sh 50,000 iwe sh 450,000 niletee Printer ya Epson.

Itakuwa sadaka murua kabisa hii and then I shall acknowledge it accordingly
CC: Sesten Zakazaka

Sesten Zakazaka
 
Thanks for the compliments mkuu Hayo yote yatafanyika nadhani mimi tu muda wangu ndio ulikua very limited nisingeweza subiri hapo Bank hadi yote hayo yakamilike ndio maana wakanambia ni deposit that money kwenye account yangu halafu watanijulisha, nadhani process zoote hizo zinataka kamuda kidogo

Watakapotaka kuzichukua frm my a/c nitataka nijue kila kitu na ikiwezekana nionyeshwe muhusika nijiriridhishe kama ni yeye
Muda ule niliokua bank waliweza kuiona ile transction na waka high light info za wanaedhani ndio alifanya hiyo transaction
Waliniambia jamaa alitoa laki nne mara mbili na kama ni yeye basi hizi nne za mara ya pili ndio aliziachaLakini mpaka wa confirm na issue zingine kama camera n.k ili kujua kama kweli pesa ni za huyo jamaa
Roger Mkuu. Over and Out!
 
Back
Top Bottom