Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,855
- 31,455
Amini usiamini karma itamuadhibu huyo meneja siku yeyote ile hata baada ya miaka 30.Hakuna kitu kama hicho,kwanza watu wa bank hawana muda wa kufuatilia video kama hizo hizo hela jamaa kaenda kumpa zawadi tu meneja atakaa muda hata mwezi mmoja atazitoa hizo hela na atazitumia yeye