Mrejesho wa Pesa nilizozipata kwenye ATM

We sio msamalia mwema bali ni mshamba tu, unarudishaje hela ya mlevi? mimi ningeenda kutoa kwa watu wenye mahitaji maalumu kama yatima, wenye ulemavu n.k, Huyo mlevi hata hajui kama siku hiyo alienda ATM. Ye anachojua pesa aliyokua nayo alihonga yote.
Mkuu unamlaumu na kumuita mshamba kwa sababu amerudisha pesa ya mlevi, kwa hiyo wewe unajiona una haki kumuibia mlevi kwamba kwako wewe wizi siyo tatizo bali ulevi ndiyo tatizo. Badilika mkuu , wizi kwa tafsiri fupi ni kutwaa kitu/mali ya mtu mwingine bila ridhaa yake . Alichofanya ndiyo njia sahihi kabisa , iwapo unataka kuwasaidia wasiojiweza toa fedha yako ya halali kabisa ndiyo iwe msaada na siyo vinginevyo
 
Asante sana mkuu wangu, umesema vyema
 
We sio msamalia mwema bali ni mshamba tu, unarudishaje hela ya mlevi? mimi ningeenda kutoa kwa watu wenye mahitaji maalumu kama yatima, wenye ulemavu n.k, Huyo mlevi hata hajui kama siku hiyo alienda ATM. Ye anachojua pesa aliyokua nayo alihonga yote.
YAANI UNATOA SADAKA KWA PESA HARAMU, BORA UNGESEMA UNAENDA KUINYEWEA
 
Back
Top Bottom