Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,027
- 16,148
Hizo nyanya zikiliwa na kuku inakuwajeKatakata nyanya tu uchanganye na dawa haraka sana utakuta wameshakula
Hizo nyanya zikiliwa na kuku inakuwajeKatakata nyanya tu uchanganye na dawa haraka sana utakuta wameshakula
Hizo nyanya zikiliwa na kuku inakuwaje
Basi hii itanifaaiyo dawa ni sumu kwan panya tu...kwa kuku haina madhara
Hao hawana dawa. Wazoee tu. No suna vile vile.Natafuta dawa ya mende wasumbufu
Zinaua mimi nilikuwa na tatizo la mende ndani kwangu mwaka jana nimeinunua na kumwaga ndani kuanzia sebulen chooni mpaka chumbani sasa hivi hakuna mende kabisa mpaka leo inaua kuanzia mende mpaka mayaiHizi haziui siku hz..na wala mende hawazifuati
Kama haujapata tumia ICON, inapatikana maduka ya pembejeo. Ukifika waambie wakuuzie original maana nyingi zilizopo ni fake. Hii inauwa mende, mbu na wadudu wengine wote na hudumu kwa miezi kadhaa hivyo kusaudia kuwaua hata wale wanaozaliwa baadae.Natafuta dawa ya mende wasumbufu
Subiri siku utakapowakuta wanalamba mswaki wako bafuni ndipo utaona noma kuwahesabu kama ndugu zako.Kweli mkuu mijusi hawanaga noma na mtu kwanza wao kukaa juu hawaingii hata kwenye misosi wala masufuria. Mimi sinaga time nao na nikiwa nataka kufunga mlango akawa yukl kwenye bawaba nikiona namtisha kwa atoke ndipo nifunge. Mijusi sina noma nao kabisa hawa ndugu zetu
Umeipata wapi kwani haipo kwenye mauzo, dawa hivyo ilikuwa inawafanya panya wafuate mwanga nje na kufia huko.Wakuu hamjambo?
Nachukua fursa hii kuwashukuru wakuu wote waliyonisaidia mawazo ya kuwamaliza panya ndani mwangu.
Luna mkuu moja humu alinishauri niwape sumu ambaye ni dawa ya maumivu inayoitwa Indosin. Kwa kweli nimefanikiwa kupata hiyo dawa na wamekufa wote.
Kwa heshima kubwa nawashukuru wote waliyonipa mawazo yaliyosababisha kufanikiwa.
Asanteni sana
kuoga kila siku tu mkuu na kujitawadha vizuri na kukata mafuzKunguni kunguni kunguni msaaaaada wa dawa
mbona ulitoa avatar picha yako ya mbuni?Uliitumiaje hiyo dawa ya maumivu
Nzuri sana hii,in kiboko ya mendeNunua hii Dawa kwa wauza Dawa za mende inaua hadi Mayai unaiweka kwenye kona mfano mwishoni mwa kabati,![]()
Moyo umetuliaNipo boss
hiyo dawa huwa inakaushaVipi harufu?
Waache mijusi hao wanasaidia kupunguza wadudu, mijusi wengi maana yake nyumba ina wadudu wengi, ukiwaondoa hao utaangamizwa na wadudu, kunguni mende buibui nkMimi natafuta dawa ya mijusi ndani, siwapendi kama nini?
Kama panya wanakufa basi haifai kwa binadamu piamisuse of drugs Mkuu, hiyo ni dawa ya binadamu siyo panya