Mrejesho wa panya wasumbufu

Mrejesho wa panya wasumbufu

mkuu Junior 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
282
Reaction score
201
Wakuu hamjambo?
Nachukua fursa hii kuwashukuru wakuu wote waliyonisaidia mawazo ya kuwamaliza panya ndani mwangu.
Luna mkuu moja humu alinishauri niwape sumu ambaye ni dawa ya maumivu inayoitwa Indosin. Kwa kweli nimefanikiwa kupata hiyo dawa na wamekufa wote.
Kwa heshima kubwa nawashukuru wote waliyonipa mawazo yaliyosababisha kufanikiwa.
Asanteni sana
 
mkuu iyo dawa kiboko
panya wamezidi nshawanunulia dagaa hapa nasubiri muda niwawekee inawamaliza balaa
 
Wawekee kwenye unga wa dona mkuu. Hutawaaikia tena na wanakufa immediately wanapokula. Sikuamini mkuu
 
mkuu iyo dawa kiboko
panya wamezidi nshawanunulia dagaa hapa nasubiri muda niwawekee inawamaliza balaa
Hama kwanza nyumba kwa muda. Maana kwa harufu ya mizoga, sijui kama patakalika.
 
Waueni Kimya Kimya - watu wa Haki za Wanyama wakisikia watawashitaki; unaweza kukuta na hapa JF wapo.
 
Back
Top Bottom