commando general
Member
- Jan 13, 2018
- 43
- 26
ZipoVp kuhusu mende wakuu..nitumie nn
ZipoVp kuhusu mende wakuu..nitumie nn
mkuu hamna namna wanakera sana sjui msimu wao huu wanakatiza kama kwaoHama kwanza nyumba kwa muda. Maana kwa harufu ya mizoga, sijui kama patakalika.
Nunua hii Dawa kwa wauza Dawa za mende inaua hadi Mayai unaiweka kwenye kona mfano mwishoni mwa kabati,Natafuta dawa ya mende wasumbufu
Dawa ganiZipo
Hizi haziui siku hz..na wala mende hawazifuatiNunua hii Dawa kwa wauza Dawa za mende inaua hadi Mayai unaiweka kwenye kona mfano mwishoni mwa kabati,![]()
Indocid mbona ipo kwenye maduka ya dawa.mbona hio dawa mm natafuta naambiwa imezuiliwa ina miezi 6 sasa
OK nilitumia miaka minne nyuma sina mende hadi Leo,wameshakuwa sugu nnHizi haziui siku hz..na wala mende hawazifuati
Asante sana mkuuNunua hii Dawa kwa wauza Dawa za mende inaua hadi Mayai unaiweka kwenye kona mfano mwishoni mwa kabati,![]()
Kweli kabisaHizi haziui siku hz..na wala mende hawazifuati
Nilisikia mende ni majiniNatafuta dawa ya mende wasumbufu
Nmeziweka sana..naona mende wanazipiga mateke tu..Kweli kabisa
Hazifanyi kazi..Asante sana mkuu
Mi nataka ya bui bui.Mimi natafuta dawa ya mijusi ndani, siwapendi kama nini?
Lungu mpya ni kiboko.Vp kuhusu mende wakuu..nitumie nn
IpojeLungu mpya ni kiboko.