Si ulisema unatumia sangoma kwenye Kilimo, go ahead utavuna malori Kama buku
Nilitaka kushangaa kama thread nzima kusengekuwa na post kama hii.Mdanganyeni, au ngoja mfate huo ushauri kichwa kichwa muone moto wake. Hasa kama una familia mke atakukimbia kwa njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ZUKINI NI NINI WANA JF?Ref my previous post
Namshukuru mwenyezi Mungu muumba wq mbingu na ardhi kwa pumzi na afya njema aliyonijaalia
ilinichukua miaka mitano na nusu kuacha kazi ya serikalini nashukuru Mungu kwa walionisupport juu ya uamuzi wangu huo
nliwakwepa wale wote ambao nlihic watanikatisha tamaa hasa wazazi wangu ilibidi nimtengenezee mazingira ya kutokuniomba hela ya kila mwezi kwa kumwekea pooltable linalomwingizia 150000 kila mwezi
Ninachofanya baada ya kuacha kazi
Ninalima matikiti maji,Zukini na pilipili za kuwasha nimeanza na tikiti maji heka 3 pilipili za kuwasha nusu heka na zukini nusu heka
Zukini na pilipili ndo zao ninalolitegemea kulifanya liwe zao la biashara nimelilima chache kwasababu ckuwahi kulima zukini na pilipili so natafuta experience
tikiti ziko poa ntawaonyesha picha za zilipofikia
Biashara
nimefanya biashara ya mbolea ya mavi ya kuku kwa muda wa week 2 nimeingiza faida ya laki4 though changamoto imekuja kwenye savings kila nkipata hela mahitaji ya shamba yanaongezeka mf dawa mbolea ya dukani kuwalipa posho vibarua nk
Uzuri wa kujiajiri
unaamua ufanye nini muda gani mwenyewe yaani kama nkiamua nisafiri hata nw naweka mipango sawa naenda popote inshort nipo huru
changamoto kuubwa nliyoiona
Savings na mifuko ya jamii
faida inapaswa ihifadhiwe kiac kikubwa kuliko kukitumia mara nyngi tunatumia hela pale tunapokua nazo tusipokua nazo ni ngumu sana kuzitumia natamani nijifunze mbinu ya kisave
natamani nijiunge na ule mfuko binafsi wa penshen tatizo huku Jaribu(kibiti) hakuna hicho kitu
View attachment 848013View attachment 848015View attachment 848016
Sent using Jamii Forums mobile app
jee na wewe unalima hili zao, Tz linalimwa wapilina tumika kama kiungo kwenye mboga na vyakula vya wazungu ni kama matango kg moja ni 1000-2000View attachment 872320
Soko lake lipoje na utauzia wapinalilima Tz ni Lushoto ila nimejaribu kwanza robo heka likikubalindo ntakua nalima hili tu coz linakomaa kwa siku 50 unavuna mara4/5 halina comptition sokoni! wadudu hawaliathiri sana
Mwanzo mzuri mkuukisutu nna namba ya dalali wa hilo zukini Ila nasikia Zenj ndo wana nunua bei nzuri hadi 2500 /kg
Duka angekomaBora umekwenda kwenye kilimo ungefungua duka/biashara wangekukamua mpaka ufunge, anyway good start keep moving ahead and God bless you