mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Kibongo bongo nadhani ni yeye labda possibly sababu ya umaarufu wake tunahisi labda alikua wa 1,though hatunaga clear records/statistics za kueleweka za WaTanzania walioko nje na shughuli wanazofanya especially kwa miaka ile ya Kina Mengi.
Kuna familia nu wabongo tu wanaishi hapo Arusha naifahamu baba yao mkubwa alipata Phd mwaka 73 huko UK ni kitu cha kushtua miaka hio mtu kufika level na wala hakuna mtu anayem-recorgise labda pengine sababu sio watu maarufu.