Mrejesho wa mwezi mmoja baada ya kuacha kazi

Mungu Ni Mwema Wakati Wote πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ€πŸ€
 
Hakuna raha hii dunia kama kujua na kupenda unacho kifanya, ubaya unaanzaga pale mtu hajui anapaswa kuanzia wapi na kuishia wapi kwa sababu ya kufuata mkumbo,, hii mbaya sana
Kweli ndugu yataka moyo kusimamia maamuzi yako, Ananifundisha kusimamia maamuzi na kutokatishwa tamaa tusonge mbele, hongera sana
 
Kweli kiongozi, utakutana na anayeshinda kutwa kwenye kioo anamkosoa muumba wake, kazi hazifanyki yeye kula na kioo lazima uhalibu malengo na mdogo juu wa mawz
 
Back
Top Bottom