Mrejesho wa mwezi mmoja baada ya kuacha kazi

Haya ni maamuzi magumu sana ambayo kwangu si sahihi. Hata kwenye biashara tunafundishwa umuhimu wa portfolio mkuu, unaachaje kazi wakati huna pa kushika? Hukumsikia Dk Lutengwe? Ulitakiwa ukomae na ujasiriamali hivyo hivyo ukiwa umeajiliwa hadi pale utakaposimama ndo uache kazi, ipo siku utajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Dkt. Lutengwe ana mafanikio kama labda wakina Mengi/Bakhressa au ni nani mkuu?
 
Alitumbuliwa na Rais alikuwa mkuu wa mkoa. Kwa hiyo unadhani kila anayejiajiri anakuwa kama Mengi au Bakhresa? Mengi kwanza alikuwa muajiliwa kama hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe unamuongelea mwanasiasa aliyekua analia lia eti"nimekosa mimi nimekosa sana" hahah,Mengi Sio tu alikua mwajiriwa malizia kusema alikua ni msomi,mwenye ACCA(kama ulienda shule utakua unaijua) na mwajiriwa wa one of the big 4 auditing firms.
 
Nikipiga darubini nakiona kisima kipo poa sana hakika kinapendeza, hata mimi ningeacha tu kazi ya kuajiriwa. Hongera mkuu, kaza buti.
 
Hapo kwenye kusave boss unahitaji mwanamke mwenye akili, watu wengine tuna wanawake wako bright sana kwenye maswala ya uchumi ingawa darasani hawajaingia ila wanaume ndiyo makopo yanayokwamisha mambo.

Hata nahisi nampotezea muda wake tu.
Ha h ha ha ha a ha haaaaa... Mwenyekiti wewe ni MNYENYEKEVU sana...
 
Kumbe unamuongelea mwanasiasa aliyekua analia lia eti"nimekosa mimi nimekosa sana" hahah,Mengi Sio tu alikua mwajiriwa malizia kusema alikua ni msomi,mwenye ACCA(kama ulienda shule utakua unaijua) na mwajiriwa wa one of the big 4 auditing firms.
Nadhani mengi ndo mtu wa kwanza kupata CPA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom