Mrejesho wa Albadiri

Mrejesho wa Albadiri

Albadiri?Rekebisheni Lugha,na wengine waislam hata hawaijua inavyotamkwa,kaazi kweli
Ndio lugha gani hiii.

Hivi mnafikiria waislam ni mazuzu kiasi hiki?Makanisa yamekaa kimyaaa,ila mazuzuti ndio wanajifanya kibembelembele.

Wawaulzie CUF kama walipata chochote zaidi ya balaa kurudia kwao.
Na wengine wanatafuta kiki za Uganga wa Kienyeji tu hapo,kwenye Tukio huku watu watapiga pesa.Basi likitokea hambo tu watatajwa Waislam hata kama ni la kawaida halihusiani na ushirikina huo.

Naomba kuuliza, wale wanachama wa CUF waliokufa wakitokea Dodoma ni Albadry au ajali tu?
 
Kwanza niwasahihishe haitwi Albadiri, inaitwa AHLUL BADR


Hicho ni kisomo kinachosomwa kwa kutaja majina ya maswahaba wa Mtume (S.A.W) waliyopigana vita ya Badr. Ukisoma hiko jua unategemea maswahaba hao ambao ni marehemu wakusaidie, na si kumtegemea Mwenyezi Mungu. Huna tofauti na Mtu ategemeaye babu zake waliyokufa wamsaidie na anawaabudu, hadi hapo ni ushirikina. Ushawafanya Miungu hao maswahaba na kuwaomba, ilihali mwenye kustahili ni Muumba.

Jamani anayesoma hiki kisomo si Mwislamu maana keshavunja nguzo ya kwanza ya uislamu. Ambayo inamtaka ashuhudie hakuna Mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu, kwa kuwaomba wanadamu wenzake waliyopo jirani na Mtume enzi za zamani.


Uislamu haukamiliki ila kwa nguzo tano, sasa moja ambayo inamtambulisha mtu kama mwislamu imevunjwa, mtaanzaje kuwaita Waislamu. Anayefanya hilo si mwislamu tena hicho cheo cha Sheikh hakupaswa kuitwa, anatumia kitabu cha Mungu vibaya. Anauchafua Uislamu.



Hao maswahaba wamekaa duniani hadi wanafariki hakukuwa na kisomo hicho, wavamizi ndiyo wanaleta ujinga huo.



MKIKAA KUVITEGEMEA HIVYO, HAMPO TOFAUTI NA WATEGEMEAO UCHAWI
 
Imesomwa nini sijui leo kwa hao wasiojulikana lakini ndiyo kwanza mbuzi wa pili hapo kwa Morombo Arusha anakatika taratibu.
 
Baadae wataitwa Magaidi na hao hao wanao washabikia leo kwa ushirikina.

Bora wangeungana kumuombea Dua mgonjwa apone haraka kwa Muujiza wa kipekee.
 
Mbona kama vile imeshakupata tayari
Hakuna Kitu cha hivyo ukiwa mchawi lazima wachawi wenzako watakujua na kukufuata popote pale.

Njoo Tule mbuzi huku tukitoka tu namalizia Triple A
 
Hakuna Kitu cha hivyo ukiwa mchawi lazima wachawi wenzako watakujua na kukufuata popote pale.

Njoo Tule mbuzi huku tukitoka tu namalizia Triple A

Hakuna Kitu cha hivyo ukiwa mchawi lazima wachawi wenzako watakujua na kukufuata popote pale.

Njoo Tule mbuzi huku tukitoka tu namalizia Triple A
fe5e41de9a0a1aa089b7645d37cbb0a6.jpg
 
Back
Top Bottom