Mrejesho wa Albadiri

Mrejesho wa Albadiri

Mbona kama vile imeshakupata tayari
b9914953969dcac835b92533b5158007.jpg
Ishakupata Mkuu
 
acha kuogopa
Tokeni na takataka zenu hapa eti Albadili Albadili. Mtasubiri sana hayo matokeo mpaka macho yatawatoka.

Nendeni mkaomboleze na kumzika Diwani vitu Maalum Mbeya mjini Chadema aliyefariki jana
 
Anayesoma ahlulbadr so muislam amekufuru
Mana amevunja nguzo ya kwanza ya uislamu ya kuwa hapana mola apasae kuabudiwa kwa hali ila Allah
Na albadr ni kutaja majna ya maiti ndiyo yakusaidie na cyo Allah, huu, ni ushirikina mukubwa
NB:siyo kila anayejua kiarabu na kuvaa kanzu ni muislam wengne mayahudi
 
Back
Top Bottom