Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,877
- 49,735
😀Ila hiyo Albadir leo mashekh wasitie mbwembwe nyingi wakomae na mambo ya Lissu tu maana wakiongezea na wanaochepuka itakua hatari sana.
😀Ila hiyo Albadir leo mashekh wasitie mbwembwe nyingi wakomae na mambo ya Lissu tu maana wakiongezea na wanaochepuka itakua hatari sana.
Maana ya Picha hiyo nini!??View attachment 589114 picha hii imeambatana na nyingine (ambazo siwezi kuzipamdisha hapa kwasbabbu sijazithibitisha kama kweli ni za tukio hili ama la) zimetumwa huko wasap...!!!
imetumwa kuwa ndio mambo ya kisomo chenyewe maana yake siijuiMaana ya Picha hiyo nini!??
nadhani itakuwa haimuhusu tundu....itakua inahusu kumlinda zittoHapa kigoma imesomwa ila kwa siri sana!
Hahahahahahahahaaa Weweeeee Nimecheka SanaIla hiyo Albadir leo mashekh wasitie mbwembwe nyingi wakomae na mambo ya Lissu tu maana wakiongezea na wanaochepuka itakua hatari sana.
Unajua maana ya albadir wewe?jee huyo mnayetaka kusoma kwa ajili yake ameridhia?vipi kama yeye ameshasamehe?sidhan kama kusoma Albadiri ni kumjaribu Mwenyezi Mungu
Singida sehem gan mkuuSingida ila kwa siri sanaaaa
ni ngumu hii ya Lowassa inakuja vipi hapa?Atakufa lowassa hiyo albadiri yenu
Wallah ninatununua na kileo na kunywa kwa Mara ya kwanza yangu nizaliweNaomba mungu waliomdhuru tundu lisu wafe hata leo
Aah kumbe viwembe na ndimu tu,kitu Cha AK47 bwana.View attachment 589114 picha hii imeambatana na nyingine (ambazo siwezi kuzipamdisha hapa kwasbabbu sijazithibitisha kama kweli ni za tukio hili ama la) zimetumwa huko wasap...!!!
Ni upuuzi tu... In short ni USHIRIKINA.Naomba kujua, Albadir ni kitabu cha dini au la?
Nijuavyo mimi Mungu hakubaliani na ulipizaji kisasi.
Stay therehakuna kitu kama hicho....
Ninawaaminia mwanawaneHapa kigoma imesomwa ila kwa siri sana!
Hapana ni maandalizi ya X-mashiyo picha yalikuwa ni maandalizi ya hiyo Albadiri?