Mrejesho wa Albadiri

Mrejesho wa Albadiri

All badr si kitabu cha dini, wapuuzi Fulani tu wafanya ujinga, wakiusianisha na vita ya badr lakin kishirikina zaidi.
 
Hao watakaosoma hzo Albadr sio waislamu, ni makafir. Waislam wanakufa kila siku,wanadhulumiwa huko duniani mbona hawasomi hyo Albadr ili waislamu wenzao wawe huru na amani?
 
Back
Top Bottom