pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Habari zenu,
Asanteni sana wana member wa Jf nakumbuka niliandika humu nikiwa nataka kupata mke mwema aliyesoma mwisho level ya diploma hatimaye nimempata tayari na anaitwa Rose na anasifa zote za kuwa mke.
Natoa pongezi na nashukuru sana kwa jukwaa hili.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Jamiiforums
sijui nijitose na Mimi! But hongera sana.