Mrejesho: Nimepata mke mwema kutoka JF

Mrejesho: Nimepata mke mwema kutoka JF

ni kweli nilisema wenye degree siwataki maana niwasumbufu na wengi wao washakuwa used sana hadi kero

Nashukuru kusukia wengi wao lakini sio wote maana namtaka mwenye degree na hata masters!
 
ni kweli nilisema wenye degree siwataki maana niwasumbufu na wengi wao washakuwa used sana hadi kero

Hahahahaaa Mpwa hio judgement yako haina uhalisia kabisa aiseee
 
Attachments

  • 1436940184948.jpg
    1436940184948.jpg
    8 KB · Views: 344
Huyu jamaa wakati analeta uzi wake wa mwanzo alisema kwamba hataki wenye degree...
Ndio maana nmemwambia asiwaogope

Pengine haujui ukweli huu hapa chini
 
Attachments

  • 1436940325445.jpg
    1436940325445.jpg
    9.4 KB · Views: 287
Umejuaje kama ni mwema wakati ndo kwaanza umempata!!!Anakusoma tu ili uje kujua yeye ni lara1
 
Last edited by a moderator:
HUYO jamaaa alitendwa na mtu mmoja degree holder bas ka genelarize wote

wala sijawahi tendwa na mwanamke mwenye degree ila nimekua nao kribu sana na nawaelewa sana wanawake wenye degree wanavyokuwa na mbwembwe zao,, ila hawa wa certificate au diploma safi sana yani full kuheshimiwa na kuelewana
 
Mpwa nipe zile sample kumi ambazo zilibaki baada ya kuchambua..akabaki mmoja mpwa
 
Back
Top Bottom