Mrejesho: Nimepata mke mwema kutoka JF

Mrejesho: Nimepata mke mwema kutoka JF

Anatumia ID gani humu ndani?maana mchepuko wangu unasifa kama hizo unanizingua sana eti umehamia "sauzi" but ata no ya simu haujanipa na no ya tz haipatikani.
 
Hivi kumbe yale mabandiko watu wanatoaga huwa wako serious!! Mweeeh Eli79 uko wapi? Nimekumiss ujue.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu,

Asanteni sana wana member wa Jf nakumbuka niliandika humu nikiwa nataka kupata mke mwema aliyesoma mwisho level ya diploma hatimaye nimempata tayari na anaitwa Rose na anasifa zote za kuwa mke.

Natoa pongezi na nashukuru sana kwa jukwaa hili.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Jamiiforums
Hongera mkuu,hebu tupia kapicha basi tumuone shemeji.
 
Back
Top Bottom