- Thread starter
- #61
Hongera kaka Mungu aendele kukujalia yaliyo mema
asant sana mkuu
Hongera kaka Mungu aendele kukujalia yaliyo mema
Tunakula vinono sie. Wewe si ulishasema vya mitandaoni ni tofauti na vya kanisani...ngoja sie tule vinono..
Hahahaaaaaa!! Kwakweli hapana, nakataaa, wizi mtupu! Kwani hujaona niliposema nimekumiss?
Usitake niamini kuwa you'd never fall online, its possible sana tu sema you're on denial ukiamini kuwa sisi wa mitandaoni ni wezi wa mapenzi.. Fata protocol za urafiki uone kama hutampata Eli79.
Tatizo wewe unanimiss kwenye keypads tu. Njoo mabwepande unipe company.
Tuachane na hayo mengine maana huwezi nibadiki mtizamo, haya nielekeze njia nije.
Niko njiani kukufata, wewe simama hapo hapo.
Nina project na wewe, you'll change.
Hahahaaaa! le project! Kanti weiti mie
Aisee......
Mungu ni mwema saana...ila usiwaogope hawa wenye degree...
Alafu mkuu ni mapema saaana kujudge chukua muda kumchunguza, usije ukalia baadae...
humu humu maana walipatika 11 nikafanye mchujo hadi akabaki Rose tuu,,, nasema hiv humu humu jf kuna wake wazuri na wanajitambuwa
Hahaha. Usije nilaumu tu siku ukishangaa upo under my arms, teh teh!!
ulimfungulia acc JF mkawa mnawasiliana au mlikutana tu JF na kuanza kuchombezana?
hongera !