Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,548
Huu ndio ushauri asipoufata tunapotezeana muda tuSubiri umiss dudu uone km hautarudia kulekule, pona yako upige kambi kanisani vinginevyo wewe ni yuleyule kama mpiga punyeto tu.
Huu ndio ushauri asipoufata tunapotezeana muda tuSubiri umiss dudu uone km hautarudia kulekule, pona yako upige kambi kanisani vinginevyo wewe ni yuleyule kama mpiga punyeto tu.
Hili saga...yangu machoBit.ches mnajuana...vp ataweza kuacha kweli?Au danganya toto?Tupe uzoefu wako ww shankupe uliekubuhu.
Kubadilika ni jambo la dakika, hayo ni maamuzi mtu anayofanya ndani ya roho yake. Ninavyoelewa mimi kile kipindi cha mpito kutoka mtu mbaya kwenda mtu mwema ni kipindi cha misukosuko sana sio rahisi kama mleta mrejesho alivyotyaminisha. Ni vyema akatueleza amewezeja, ili na sisi tubadilike.Watu hawafanani Angry Bird
Wengine inawachukua wiki tu kubadilika
Niliwahi kuleta thread yangu humu ndani nikielezea juu ya maisha yangu na vitu ambavyo nilivifanya katika maisha yangu kwa kuwa maisha yangu ya nyuma yaligubikwa na dhambi na vitendo vichafu=>Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi
Namshukuru sana MUNGU kwa kweli nimepiga hatua kubwa sana katika maisha yangu; Ilinibidi kuhamia mkoa mwingine kabisa, na kuanza kazi sehemu nyingine ili niweze kuanza upya. Sasa hivi nimekuwa mtu mpya kabisa.
Nawashukuru sana watu wote humu ndani hasa wale ambao walinishauri na hata kunitumia PM za kunipa ushauri na kunipa moyo. Pia nawashukuru hata wale ambao walinitukana na kunikejeli.
Namshukuru sana pia kwa namna ya pekee mtaalamu wa Saikolojia ambae amenisaidia sana kufika hapa nilipo, na sasa hivi nasonga mbele, siangalii nyuma tena.
Ahsanteni sana na mbarikiwe sana na Mwenyezi MUNGU.
JF imenisaidia sana kwa kweli.
UPDATES ZAIDI (SEPT 2016)
Nazidi kuendelea vizuri sana kwa kweli, namsshukuru Mungu kwa yote. Sasa hivi maisha yanaendelea vizuri tuu, nimesahau yote ya nyuma; Bado naendelea na sessions za counselling hadi sasa hivi, pia naendelea na kazi na kwa kiasi kikubwa sana nimeweza kuanza maisha mapya, maisha ya kuishi kwa kadri ya uwezo wangu na maisha ya kuwa na hofu ya Mungu. Naomba Mwenyezi Mungu muweza wa yote azidi kunipa nguvu na kunifanya niendelee kusimama.
Nawashukuru watu wote humu ndani kwa namna ya pekee (hata wale ambao walinikejeli na kunitusi); mmenifundisha jambo kubwa sana wapendwa!!!
Siri ni Bwana Yesu Kristo, mwokozi na masihi wa kweli Angry BirdKuna watu Dunia hii tuiishiyo mambo yao ni chap chap, umekuja hapa na uzi tarehe 2/4/2016 leo mambo yashakunyookea yanaenda bam bam. Itabidi utupe siri ya urembo ili na sisi tujibadili chap chap.
Inawezekana kwa maombi, hakuna kinachoshindikana mbele ya Yesu Kristo King'asti , nashukuru mpaka sasa bado nimesimama nakaza mwendo; Kejeli za walimwengu zinazidi kunipa nguvu zaidi na zaidi.Hahaha yaani kwa mwezi mmoja toka ufanye maamuzi 'magumu' hadi leo umeshahama mkoa, ukapata kazi, na kushukuru Mungu? Kweli maisha ya sasa zaidi ya bongo movies
Sijakuelewa mtu wa Mungu.
Nayaweza yote katika yeye (Kristo) anitia nguvu. Naamini sitarudi nyuma
Hakuna siri zaidi ya Yesu Kristo, yeye ndie amenipa maisha haya mapya, nayaweza yote katika yeye (Kristo) anitiae nguvu.
Mtu wa Mungu punguza hasira; umejawa na hasira sana.
Nimeshamshukuru Mwenyezi Mungu, na naendelea kumushukuru kila siku, kuwa na amani mtu wa Mungu.
Huyo sie mimi mtu wa Mungu
Ahsante sana mtu wa Mungu, ubarikiwe sana.
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu.
Unaweza kufikiri unavyotaka mtu wa Mungu, ni haki yako. Ubarikiwe sana, na uwe na amani.
Mtu wa Mungu, you're really transformed "mtu wa Mungu"
Niko determined sana mtu wa Mungu, na hakuna kiasi cha kejeli ambacho kitanirudisha nyuma. Ubarikiwe sana.
Ahsante sana mtu wa Mungu. Ubarikiwe sana.
Ahsante sana mtu wa Mungu. Ubarikiwe sana.
Naomba usome thread yangu ya kwanza mpendwa, ili uelewe vizuri context ya huu uzi.
Hakuna haja ya kuwa harsh; kwako its just a story, lakini kwangu ni reality. Ubarikiwe sana.
Nakupongeza sana kwa maamuzi yako. Mungu hatokuacha tena urudie ulikotoka. Endelea kuiogopa dhambi kama homa ya iniNiliwahi kuleta thread yangu humu ndani nikielezea juu ya maisha yangu na vitu ambavyo nilivifanya katika maisha yangu kwa kuwa maisha yangu ya nyuma yaligubikwa na dhambi na vitendo vichafu=>Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi
Namshukuru sana MUNGU kwa kweli nimepiga hatua kubwa sana katika maisha yangu; Ilinibidi kuhamia mkoa mwingine kabisa, na kuanza kazi sehemu nyingine ili niweze kuanza upya. Sasa hivi nimekuwa mtu mpya kabisa.
Nawashukuru sana watu wote humu ndani hasa wale ambao walinishauri na hata kunitumia PM za kunipa ushauri na kunipa moyo. Pia nawashukuru hata wale ambao walinitukana na kunikejeli.
Namshukuru sana pia kwa namna ya pekee mtaalamu wa Saikolojia ambae amenisaidia sana kufika hapa nilipo, na sasa hivi nasonga mbele, siangalii nyuma tena.
Ahsanteni sana na mbarikiwe sana na Mwenyezi MUNGU.
JF imenisaidia sana kwa kweli.
UPDATES ZAIDI (SEPT 2016)
Nazidi kuendelea vizuri sana kwa kweli, namsshukuru Mungu kwa yote. Sasa hivi maisha yanaendelea vizuri tuu, nimesahau yote ya nyuma; Bado naendelea na sessions za counselling hadi sasa hivi, pia naendelea na kazi na kwa kiasi kikubwa sana nimeweza kuanza maisha mapya, maisha ya kuishi kwa kadri ya uwezo wangu na maisha ya kuwa na hofu ya Mungu. Naomba Mwenyezi Mungu muweza wa yote azidi kunipa nguvu na kunifanya niendelee kusimama.
Nawashukuru watu wote humu ndani kwa namna ya pekee (hata wale ambao walinikejeli na kunitusi); mmenifundisha jambo kubwa sana wapendwa!!!
Wakati unafanya huo uchafu,Je? kwa namna yeyote ulishawahi shiriki mlango wa uani?
Umefikiria nn mkuu mpk ukamuuliza hv. Mungu anasamehe madhambi yoteWakati unafanya huo uchafu,Je? kwa namna yeyote ulishawahi shiriki mlango wa uani?
NAWEWE LINI MAANA USAWA HUU WA MAGU HELA ZA KUHONGA HAKUNAMmmmmmmmmh!