Mpendwa ndivyo tunavyotoa ushuhuda kusudi ikupe nguvu kutorudi nyuma maana kwa anonymity ya sasa unaweza rudi nyumaAhsante sana mtu wa Mungu kwa suggestion yako nzuri. Lakini sitaweza kufanya hivyo.
Very fishy, StinkyI smell something fishy between the lines..
Big up anyway
Hakika inashangaza saaana,.. Nikikumbuka hako kastory kametoka jana tu hapa, na mda huu wa mwezi mmoja umeweza kuhamia mkia mwingine kikazi na ukarekebisha maisha yakawa tofauti!!!? Mbona umefanya haraka kurudi na kutoa shukrani, huoni labda huenda tabia ikajirudia tena halafu ukashindwa kurudi kwa msaada!!? Anyway, haya bhana.. Hongera sana na uzidi kubarikiwa.Kuna watu Dunia hii tuiishiyo mambo yao ni chap chap, umekuja hapa na uzi tarehe 2/4/2016 leo mambo yashakunyookea yanaenda bam bam. Itabidi utupe siri ya urembo ili na sisi tujibadili chap chap.
Nayaweza yote katika yeye (Kristo) anitia nguvu. Naamini sitarudi nyumaHakika inashangaza saaana,.. Nikikumbuka hako kastory kametoka jana tu hapa, na mda huu wa mwezi mmoja umeweza kuhamia mkia mwingine kikazi na ukarekebisha maisha yakawa tofauti!!!? Mbona umefanya haraka kurudi na kutoa shukrani, huoni labda huenda tabia ikajirudia tena halafu ukashindwa kurudi kwa msaada!!? Anyway, haya bhana.. Hongera sana na uzidi kubarikiwa.
Zipo sehemu za kukurupuka lakini sio JF huku watu wana kumbukumbu balaaa mhKuna watu Dunia hii tuiishiyo mambo yao ni chap chap, umekuja hapa na uzi tarehe 2/4/2016 leo mambo yashakunyookea yanaenda bam bam. Itabidi utupe siri ya urembo ili na sisi tujibadili chap chap.
Hakuna siri zaidi ya Yesu Kristo, yeye ndie amenipa maisha haya mapya, nayaweza yote katika yeye (Kristo) anitiae nguvu.Kuna watu Dunia hii tuiishiyo mambo yao ni chap chap, umekuja hapa na uzi tarehe 2/4/2016 leo mambo yashakunyookea yanaenda bam bam. Itabidi utupe siri ya urembo ili na sisi tujibadili chap chap.