Huyu dada nashangaa sana kama ameweza hata kupata degree kwa tabia aliyokua nayo. Mara nyingi wenye tabia kama alivyokua yeye, huishia njiani maana wanaendekeza ufuska kupita kitu kingine. Hongefa sana Neemabby mungu azidi kukuepusha na mabaya uliyopitia. Nimesikitika sana
watu mnajua kukatisha wenzenu tamaa!
my dear uliamua kitu chema kila mtu ana "umalaya wake" anaotamani kuuaacha na tumeshindwa so mi nikupe big up!
Mungu azidi kukulinda dada!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.