Mrejesho: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

Kuna watu Dunia hii tuiishiyo mambo yao ni chap chap, umekuja hapa na uzi tarehe 2/4/2016 leo mambo yashakunyookea yanaenda bam bam. Itabidi utupe siri ya urembo ili na sisi tujibadili chap chap.

Mara nyingi hao wa hivyo ni visebengo walioshindwa njia zote za maisha na kujikatia tamaa.Uzi wa mabadiliko/ushauri tar.2/4/16 juzi tu alishahama mkoa na kupata faraja ya moyo na leo 7/5/16 ushuhuda na shukrani.Ungeanza kumshukuru kwanza Mungu aliekuepusha na hayo kwa.kumtolea zaka au huna dini?Ukimaliza tujulishe hali yako ki-afya hukuukanyaga kwenye msururu huo kama foleni za magari Dar?Kisha tueleze na mafanikio uliyoyapata kama unamiliki nawe mjengo,ndinga ya uhakika na akiba nono huko wawekako walioneemeka au uliambulia kulazwa guest,vichochoroni,kwenye magari na pombe zisizo idadi,na makofi tu.
 
Mtu wa Mungu punguza hasira; umejawa na hasira sana.
Nimeshamshukuru Mwenyezi Mungu, na naendelea kumushukuru kila siku, kuwa na amani mtu wa Mungu.
 
Nayaweza yote katika yeye (Kristo) anitia nguvu. Naamini sitarudi nyuma
Kuna Dada alikuwa Malaya kama ww, sasa hivi kwenye status yake ya WhatsApp kaandika hicho hapo nilichokiquote... Ngoja niunganishe dot
 
Kuna watu Dunia hii tuiishiyo mambo yao ni chap chap, umekuja hapa na uzi tarehe 2/4/2016 leo mambo yashakunyookea yanaenda bam bam. Itabidi utupe siri ya urembo ili na sisi tujibadili chap chap.
Nawewe unataka kuwa malaya mstaafu?
 
Kuna Dada alikuwa Malaya kama ww, sasa hivi kwenye status yake ya WhatsApp kaandika hicho hapo nilichokiquote... Ngoja niunganishe dot
Huyo sie mimi mtu wa Mungu
 
Nina wasiwasi kama ni ya kweli haya mhhhh!!, mi naona uko likizo tu. Ukirudi kwenye game ni PM plz.
 
Unaweza kufikiri unavyotaka mtu wa Mungu, ni haki yako. Ubarikiwe sana, na uwe na amani.
 
Back
Top Bottom