Mrejesho, Mwanza is overrated, ni kama shamba la Bibi

Mrejesho, Mwanza is overrated, ni kama shamba la Bibi

Jamaa ana wivu wa kijinga mno kana ni baba wa familia mm nawapa pole TU Wana mzazi kichaa,,maana mwanza haimtambui,haimjui Wala haimuwaz na inapepea kibabe nazan ipo siku atakufa Kwa pressure.

Na ukifatilia Hana Kaz ya kufanya huwa ypo bize kuchochea TU Kanda Ili zifatiluane alafu ndo roho yake inarizika

Mm na wezangu tumeshauriana tuachane na haya mambo tunaonekana kama wehu Kwa kudili na punguani mmoja asiye na Hela,

We jaribu kuwaza humu mtu wa arusha ushawah ona anapost picha za kushindanisha? Tofaut na hili senge la NJOMBE limeshindwa kudili na mkoa wake linachochoe Arusha na mwanza wavutane na kujenga chuki kisa some one crazy

Bro ukifikir sana utagundua tunafanya upuuzi sana ndo maana mm huon sku hiz nakomaa na Uzi wa uchochoz

Kwakweli mada zinazoletwa na huyu choice kuhusu Mwanza ni za kupuuzia! Jamaa amejaa chuki na Kanda ya Ziwa hadi anashangaza aiseee!
 
Kwakweli mada zinazoletwa na huyu choice kuhusu Mwanza ni za kupuuzia! Jamaa amejaa chuki na Kanda ya Ziwa hadi anashangaza aiseee!
Hilo ni choko Sasa Kanda ya ziwa tushalipuuza,, limebaki na chuki za laana ya ukoo ndo zinaluwasha
 
Kama ni mpangilio hata dar inabidi wajifunze Dom,maana dar nayo haijapangwa ipoipo tu
Dar ni kubwa sana kwa hiyo huwezi kusema yote iko hovyo. Ni mchanganyiko wa maeneo changanyikeni yaani yale ya zamani na ya sasa. Manzese, Buguruni, Vingunguti hakuwezi kuwa sawa na maeneo ya wastani kama Tabata, Goba, Mbweni, Mbezi Beach, Kigamboni Kibada ambayo ni mfano wa maeneo ya Dodoma kama Swaswa, Njedengwa, Nzuguni nk.
 
Namba 5 ni ukweli mtupu, Mwanza haina mitaa kwa ajili ya wenye pesa ni full changanyikeni,

Pia umesahau Mwanza Sehemu za vyakula ni za kutafuta sana na mapishi yenyewe sasa ni shida tupu,

Ile Rockcity mall yao hakuna kitu pale watu wanaendaga kupiga picha tu, tangu nifike pale niulizie mkate wa Brwon na wahudumu kuniambia hawaujui na hawajawahi kuuona nilishangaaa sana.Mwanza ni ya kishamba sana
Kweli hata huku Dar sijawahi ona huo mkate..
 
Dodoma maeneo ya ushuani ni wapi?
Ili na mimi nijue kama naishi ushuani au uswekeni 🙂
 
Dar ni kubwa sana kwa hiyo huwezi kusema yote iko hovyo. Ni mchanganyiko wa maeneo changanyikeni yaani yale ya zamani na ya sasa. Manzese, Buguruni, Vingunguti hakuwezi kuwa sawa na maeneo ya wastani kama Tabata, Goba, Mbweni, Mbezi Beach, Kigamboni Kibada ambayo ni mfano wa maeneo ya Dodoma kama Swaswa, Njedengwa, Nzuguni nk.
We unaona tabata ni mji wa Sasa!?..tabata gani iliyopangiliwa kuzidi temeke na tandika mitaa ya chihota!?..dar ni vurugu tu,Bora miji ya mwanzo magomeni,kkoo,ilala na temeke,baada ya hapo ni vurugu tu si kimara si tabata
 
Dodoma maeneo ya ushuani ni wapi?
Ili na mimi nijue kama naishi ushuani au uswekeni 🙂
Ukitoa Chadulu,Mkalama,na baadhi ya maeneo ya Chang'ombe na Kizota kwingine kote ni mitaa ya ushuani
 
Wewe unaishi porini huko Nkasi unajua maana ya Jiji ?
Mwanza ni Jiji la mabanda ya nguruwe, umaskini na uswazi Kila sehemu.

Nkasi ni nzuri kuliko Mwanza inayonuka shombo ya samaki every where
IMG_20230630_143650_010.jpg
images (1).jpg
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆
 
Bora hata Mbeya unaweza Kuta block za watu matajiri au mitaa iliyopimwa,Mwanza haina hiyo distinction..

Mbeya Ile forest Mpya na ya zamani zimepimwa,kule Iwambi nk imepimwa ila Mwanza ni Jiji zima.liko hovyo hovyo sana.
Usishuhudie uongo wewe ulishawahi kufika Capri point wewe?
 
Mwanza imeizidi, Mbeya, Tanga, na Dodoma population tu, lakini mwanza hakuna tofauti na miji mingine midogo au vijiji.
 
Back
Top Bottom