Mrejesho, Mwanza is overrated, ni kama shamba la Bibi

Mrejesho, Mwanza is overrated, ni kama shamba la Bibi

Wote mnaosema mwanza hakuna mitaa ya ushuani wote hamujawahi kutembea mwanza na wote ni mapoyoyo niwatoe tongotongo ili siku zingine mukienda mwanza mkatembee hiyo mitaa, mitaa mibovu pia niyazamani ni Sahara, igogo na mabatini tu, inayofaata yote yamoto,ushuani kwa mwanza ni 1.Capripoint 2.Bwiru press 3.Ibanda 4.mwananchi 5.kiseke 6.Nyegezi majengo 7.Nyasaka 8. Nyamhongoro 9.luchelele ziwani, bado zipo nyingi tu
 
Una uhakika kote ni ushuani..vp kuhusu
-ubora wa mipango miji
-mtandao wa barabara za lami
-ubora wa miundombinu
-strategic plans
-tatizo la maji

Una uhakika kote ni ushuani..vp kuhusu
-ubora wa mipango miji
-mtandao wa barabara za lami
-ubora wa miundombinu
-strategic plans
-tatizo la maji

Nenda katembee hiyo mitaa niliyokutajia halafu urudi tujadiri hapa acha kukalili na kufaata mikumbo ya watu
 
Una uhakika kote ni ushuani..vp kuhusu
-ubora wa mipango miji
-mtandao wa barabara za lami
-ubora wa miundombinu
-strategic plans
-tatizo la maji

Eti strategic plan ... paper plan au ....Kwamba Kuna jiji ambalo halina strategic plan ...Kwa taarifa yako Mwanza Iko under master plan
 
Eti strategic plan ... paper plan au ....Kwamba Kuna jiji ambalo halina strategic plan ...Kwa taarifa yako Mwanza Iko under master plan
Unachekesha sana aisee Tanzania hii Jiji linalofuata master plan ni Dodoma pekee.
Mwanza ingekua under master plan isingekua na makazi holela mji mzima👇👇
 
Attachments

  • e03672b5f805e59d7dc30ccfb23fb227.png
    e03672b5f805e59d7dc30ccfb23fb227.png
    21.2 KB · Views: 23
  • f5300dc6d78f3a581c87481e4bbae2e4.png
    f5300dc6d78f3a581c87481e4bbae2e4.png
    72 KB · Views: 22
  • 27ab14f1bdecf4ddbbdaa6323f432b3d.png
    27ab14f1bdecf4ddbbdaa6323f432b3d.png
    13.5 KB · Views: 22
Unachekesha sana aisee Tanzania hii Jiji linalofuata master plan ni Dodoma pekee.
Mwanza ingekua under master plan isingekua na makazi holela mji mzima[emoji116][emoji116]
Hizo nyumba zimejengwa miaka ya 70 huko ,,,master plan imezinduliwa mwaka 2014 .. kaangalie ujenzi wa mji ulivyo Sasa hv uone kama wanajenga mabanda kma ya chang'ombe au swasa
 
Unachekesha sana aisee Tanzania hii Jiji linalofuata master plan ni Dodoma pekee.
Mwanza ingekua under master plan isingekua na makazi holela mji mzima[emoji116][emoji116]
Acha kudanganya watu master plan gan ... ikiwa city center wanajenga frame za chini kama za mitaani unasema mna master plan,,,bas master plan yenu ni ya hovyo ...... CBD haieleweki hata vituo vya daladala,,wanapaki barabarani unasema mna master plan.....ukija mwanza huwezi ona huo ujinga.. CBD ipo well organized na ujenzi ni ghorofa 10 and plus ukijenga fremu kama za Njia ya general ni mkasi
 
Unaokoteza okoteza porojo tu ...kuna mji wowote Tanzania hii unaofikia hata robo ya ubora wa master plan ya Jiji la Dodoma.!?Kama miji mingine mfano Abuja,Nigeria na Gitega Burundi wote hao walikuja kuiga master plan ya Jiji la Dodoma kamwe usilinganishe Dodoma iliyopangiliwa vizuri na Mwanza iliyojengwa ovyoovyo+makazi holela kwa zaidi ya asilimia 50👇👇

Hizo nyumba zimejengwa miaka ya 70 huko ,,,master plan imezinduliwa mwaka 2014 .. kaangalie ujenzi wa mji ulivyo Sasa hv uone kama wanajenga mabanda kma ya chang'ombe au swasa
Unachekesha sana eti miaka ya 70.....Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000(kipindi hicho mji mzima ghorofa refu lilikua hospital ya Bugando)
Miaka 23 mbele bado changamoto ni zilezile👇👇 Miundombinu mibovu,mipango miji mibovu isiyoendana na hadhi ya Jiji,ujenzi wa makazi holela,tatizo la maji(hii ndio kichekesho zaidi licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria) ndiomana baadhi ya wakazi wa Mwanza huwa wanalalamika mji kutengwa na Serikali.....wanasema Serikali inapendelea majiji ya Dar na Dodoma 😆😆
 
Unachekesha sana aisee Tanzania hii Jiji linalofuata master plan ni Dodoma pekee.
Mwanza ingekua under master plan isingekua na makazi holela mji mzima👇👇
Mwanza ni a primitive town. Not even a city. Mwanza ni likijiji likubwa tu.
 
Unachekesha sana eti miaka ya 70.....Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000(kipindi hicho mji mzima ghorofa refu lilikua hospital ya Bugando)
Miaka 23 mbele bado changamoto ni zilezile[emoji116][emoji116] Miundombinu mibovu,mipango miji mibovu isiyoendana na hadhi ya Jiji,ujenzi wa makazi holela,tatizo la maji(hii ndio kichekesho zaidi licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria) ndiomana baadhi ya wakazi wa Mwanza huwa wanalalamika mji kutengwa na Serikali.....wanasema Serikali inapendelea majiji ya Dar na Dodoma [emoji38][emoji38]
Hayo matatizo yote yapo Kila jiji ...unavyosema shida ya maji ,,,ujue sio Kuna uhaba wa maji sema Kuna mitambo michache ya kutoa maji ziwani na hyo shida inaenda kuisha mwezi huh baada ya mradi wa butimba .... dodoma hii unayoisema wew Ina Giza barabara zote isipokuwa hapo CBD na barabara ya kuelekea nanenane kwingine na Giza tororo. Jiji gan hili ,,,,jiji Gani public transport ni shida ,,,,,unasema Kuna master plan hapa [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom