Mrejesho, Mwanza is overrated, ni kama shamba la Bibi

Hayo matatizo yote yapo Kila jiji ...unavyosema shida ya maji ,,,ujue sio Kuna uhaba wa maji sema Kuna mitambo michache ya kutoa maji ziwani na hyo shida inaenda kuisha mwezi huh baada ya mradi wa butimba .... dodoma hii unayoisema wew Ina Giza barabara zote isipokuwa hapo CBD na barabara ya kuelekea nanenane kwingine na Giza tororo. Jiji gan hili ,,,,jiji Gani public transport ni shida ,,,,,unasema Kuna master plan hapa [emoji706][emoji706][emoji706]
Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000 hadi leo bado mnazungumzia shida ya maji licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria hii ni aibu kubwa.Dodoma ingekuwa imezungukwa na Ziwa hili lingeshaisha tangu enzi za Nyerere.
-Katika majiji yanayoongoza kwa giza Tanzania hii mojawapo ni Mwanza usitake kujitoa ufahamu😆😆.Dom is far better kwenye mataa ya barabarani+mtandao mpana wa barabara za lami za mitaa na kilasiku yanaongezwa recently barabara ya Udom imeshawekwa taa,Maktaba road ishawekwa taa,Makole road ishawekwa taa na list kilasiku inaongezeka.
Alafu unazungumzia public transport kwamba public transport ya Mwanza ni bora kuliko ya Dodoma hiki ni kichekesho cha karne.Mwanza yenye main roads mbili 👇👇

Dodoma ni jiji classic sasa, japo nipo dar.
 
Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000 hadi leo bado mnazungumzia shida ya maji licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria hii ni aibu kubwa.Dodoma ingekuwa imezungukwa na Ziwa hili lingeshaisha tangu enzi za Nyerere.
-Katika majiji yanayoongoza kwa giza Tanzania hii mojawapo ni Mwanza usitake kujitoa ufahamu[emoji38][emoji38].Dom is far better kwenye mataa ya barabarani+mtandao mpana wa barabara za lami za mitaa na kilasiku yanaongezwa recently barabara ya Udom imeshawekwa taa,Maktaba road ishawekwa taa,Makole road ishawekwa taa na list kilasiku inaongezeka.
Alafu unazungumzia public transport kwamba public transport ya Mwanza ni bora kuliko ya Dodoma hiki ni kichekesho cha karne.Mwanza yenye main roads mbili [emoji116][emoji116]

Main road ya arusha ina taa ?. main road ya singida je ,,main road ya iringa je.. unamzungumzia street roads ambapo hata singida Zina taa..
Hiv dodoma Kuna barabara nzuri kuzidi airport road?
 
Bora hata Mbeya unaweza Kuta block za watu matajiri au mitaa iliyopimwa,Mwanza haina hiyo distinction..

Mbeya Ile forest Mpya na ya zamani zimepimwa,kule Iwambi nk imepimwa ila Mwanza ni Jiji zima.liko hovyo hovyo sana.
Ina maana capripoint hujapaona au dharau?😅😅😅
 
Kumepimwa kule? Au sawa ni vile Matajiri ndio wamekimilikosha ,Kuna Barabara za mitaa? Si Kila mwenye hela katafuta chochoro yake?
Hata sijui,ila nakumbuka nilivyokuwa Mwanza mwenyeji wangu aliniambia twende ukapaone ushuani,ndio nikapelekwa kiwanja huko,nikapaona pazuri 😅😅
 
Kumepimwa kule? Au sawa ni vile Matajiri ndio wamekimilikosha ,Kuna Barabara za mitaa? Si Kila mwenye hela katafuta chochoro yake?
Hiv ww capripoint unapajua kweli au unaropoka tu
20230802_155249.jpg
20230802_155138.jpg
20230802_155125.jpg
JamiiForums-867098206.jpg
 
Kumepimwa kule? Au sawa ni vile Matajiri ndio wamekimilikosha ,Kuna Barabara za mitaa? Si Kila mwenye hela katafuta chochoro yake?
Hata isamilo tu ,,,ni tishio Kwa mitaa mingi ya majiji nchini.ukiacha masaki,mbezi beach ,mbweni , osyterbay,kunduchi , kinondoni, capripoint na njiro .
JamiiForums1705739662.jpg
 
Main road ya arusha ina taa ?. main road ya singida je ,,main road ya iringa je.. unamzungumzia street roads ambapo hata singida Zina taa..
Hiv dodoma Kuna barabara nzuri kuzidi airport road?
..naona unahamisha magoli unazungumzia Singida badala ya kuzungumzia Mwanza kwenye changamoto kibao😀😀.Narudia tena Dom is much better kulinganisha na Mwanza kwenye suala la taa za barabarani both main roads na street roads
 
Hivi karibuni nilifanya ziara ya kustukiza Jijini Mwanza Kwa siku 4 hivi ila Cha nilichokiona kinaendelea ni masikitiko makubwa..

Ukuaji wa Jiji licha kuwa sio wa Kasi sana ila unaridhisha lakini ukuaji huo hauko regulated "Shamba la Bibi" These are my observations..

1.Hakuna mipango Miji makazi yanajengwa shaghalabaghala

2.Barabara za mitaani za lami ni chache na finyu ,huku za vumbi zimejaa mashimo na hazieleweki zinaanzia wapi na zinaishia wapi,

3.Jiji linanuka shombo ya Samaki Kila sehemu,sijui watu wa mazingira wanafanya kazi gani.

4.Robo 3 ya Jiji limejaa mabanda ya watu maskini wamerundikana huko milimani hakuna Barabara Wala mitaa Wala sewage systems.

5.Ni nadra sana Kwa Mwanza kukuta mitaa ya kishua na mitaa ya watu maskini yaani makazi yamechanganyikana humo humo tofauti na Dar,Dom,Arusha,Mbeya au Tanga.

6.Barabara za mitaa chache zilizopo hazina Taa yaani Giza Totoro mjini tofauti na Shinyanga na Tabora,Mpanda au Majiji mengine makubwa..

7.Jiji la Mwanza Bado liko nyuma sana kwenye ujenzi wa majengo marefu au hata ya gorofa kulinganisha na Arusha au Dodoma..

8.Jiji halina open spaces Wala bustani za watu ku enjoy,hata zinazoitwa beaches ni mawe matupu au ziko submerged na maji ya Ziwa..

9.Watu Bado washamba wanaongea rafudhi za kilugha,wanashangaa Wageni na hawana ustaarabu,wahudumu wa hotels na lodges hawajua castomer care kabisa unakuta wamenuna utadhani hawalipwi salary.

10.Mwisho Barabara kuu za kuingia Mwanza kutokea Mkoani zimejaa mashimo na viraka na ni nyembamba, utadhani hakuna Serikali hasa Shinyanga na Musoma Road.

Mwisho Mwanza ni Jiji zuri sana kama tuu watakomesha ujenzi holela na kuzuia kabisa kujenga makazi kwenye milima ,kinyume na hapo ni shamba la Bibi.

My Take.
Nime outline hizo observations Ili wahusika wachukie hatua Stahiki ya kulifanya Jiji la Mwanza kuwa na hadhi Stahiki..

Ni jambo la kusikitisha Jiji lenye wakazi zaidi ya 1M ila linaacha kuwa la kienyeji kienyeji kiasi hicho,inasikitisha sana..

Naiomba Serikali ijitahidi kuzuia ujenzi holela wa makazi,just imagine ndani ya miaka 5 ijayo Jiji la Mwanza litaanzia Magu na Misungwi lakini all the way to City centre ni ujenzi holela,hakuna Barabara za mitaa Wala public gardens za watu kufurahia maisha..imagine Jiji wameshindwa kujenga ngazi za kivutio pale Bismarck Rock kama kivutio Sasa unategemea nini?
Ziara ya kushitukiza??, ulimshitukiza nani wakat ulipanga mwenyew
 
Kumepimwa kule? Au sawa ni vile Matajiri ndio wamekimilikosha ,Kuna Barabara za mitaa? Si Kila mwenye hela katafuta chochoro yake?
Daaaah🤣🤣🤣🤣🤣,kumbe jamaa hili ni bonge la ndezi aise,kumbe mwanza linapitaga main roads,Capripoint ni yakuuliza pamepimwa au kuna barabara 🤣🤣🤣
 
Hapa bara bara, Hali ya hewa, uoto na vyote visivyo kwenye orodha utavikuta mwanza
 
Daaaah🤣🤣🤣🤣🤣,kumbe jamaa hili ni bonge la ndezi aise,kumbe mwanza linapitaga main roads,Capripoint ni yakuuliza pamepimwa au kuna barabara 🤣🤣🤣
Hapajui mwanza na hayuko tayari kuelekezwa, watu wa sampuli hiyo tunao wengi sana kwenye nchi yetu
 
Hivi karibuni nilifanya ziara ya kustukiza Jijini Mwanza Kwa siku 4 hivi ila Cha nilichokiona kinaendelea ni masikitiko makubwa..

Ukuaji wa Jiji licha kuwa sio wa Kasi sana ila unaridhisha lakini ukuaji huo hauko regulated "Shamba la Bibi" These are my observations..

1.Hakuna mipango Miji makazi yanajengwa shaghalabaghala

2.Barabara za mitaani za lami ni chache na finyu ,huku za vumbi zimejaa mashimo na hazieleweki zinaanzia wapi na zinaishia wapi,

3.Jiji linanuka shombo ya Samaki Kila sehemu,sijui watu wa mazingira wanafanya kazi gani.

4.Robo 3 ya Jiji limejaa mabanda ya watu maskini wamerundikana huko milimani hakuna Barabara Wala mitaa Wala sewage systems.

5.Ni nadra sana Kwa Mwanza kukuta mitaa ya kishua na mitaa ya watu maskini yaani makazi yamechanganyikana humo humo tofauti na Dar,Dom,Arusha,Mbeya au Tanga.

6.Barabara za mitaa chache zilizopo hazina Taa yaani Giza Totoro mjini tofauti na Shinyanga na Tabora,Mpanda au Majiji mengine makubwa..

7.Jiji la Mwanza Bado liko nyuma sana kwenye ujenzi wa majengo marefu au hata ya gorofa kulinganisha na Arusha au Dodoma..

8.Jiji halina open spaces Wala bustani za watu ku enjoy,hata zinazoitwa beaches ni mawe matupu au ziko submerged na maji ya Ziwa..

9.Watu Bado washamba wanaongea rafudhi za kilugha,wanashangaa Wageni na hawana ustaarabu,wahudumu wa hotels na lodges hawajua castomer care kabisa unakuta wamenuna utadhani hawalipwi salary.

10.Mwisho Barabara kuu za kuingia Mwanza kutokea Mkoani zimejaa mashimo na viraka na ni nyembamba, utadhani hakuna Serikali hasa Shinyanga na Musoma Road.

Mwisho Mwanza ni Jiji zuri sana kama tuu watakomesha ujenzi holela na kuzuia kabisa kujenga makazi kwenye milima ,kinyume na hapo ni shamba la Bibi.

My Take.
Nime outline hizo observations Ili wahusika wachukie hatua Stahiki ya kulifanya Jiji la Mwanza kuwa na hadhi Stahiki..

Ni jambo la kusikitisha Jiji lenye wakazi zaidi ya 1M ila linaacha kuwa la kienyeji kienyeji kiasi hicho,inasikitisha sana..

Naiomba Serikali ijitahidi kuzuia ujenzi holela wa makazi,just imagine ndani ya miaka 5 ijayo Jiji la Mwanza litaanzia Magu na Misungwi lakini all the way to City centre ni ujenzi holela,hakuna Barabara za mitaa Wala public gardens za watu kufurahia maisha..imagine Jiji wameshindwa kujenga ngazi za kivutio pale Bismarck Rock kama kivutio Sasa unategemea nini?
Hiyo Namba 9 ndo umeua kabisa. Kila siku nasema watu wa Mwanza wamepelekewa maendeleo makubwa tofauti na uhalisia wa wao wenyewe walivyo. Wanatema matena makohozi hovyo mabarabarani
 
Back
Top Bottom