Mrejesho, Mwanza is overrated, ni kama shamba la Bibi

Mrejesho, Mwanza is overrated, ni kama shamba la Bibi

Dom hii ya chang'ombe, swaswa, kikuyu pale majengo nk kuna mpangilio gani pale dodoma ..?? 😁😁😁
Dom imepangiliwa,huwezi tokea kwenye choo Cha mtu Kama dar,makole mitaa imepangipa,chang'ombe,area c,iringa road nk
 
TZ nzima inafanana kote ni hivyo tu.
 
Back
Top Bottom