KERO Ukosefu wa taa za barabarani jijini Mwanza

KERO Ukosefu wa taa za barabarani jijini Mwanza

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa taa za barabarani katika barabara nyinginza jiji la Mwanza hivyo kupelekea barabara nyingi usiku kutopitika na pia kuvutia wahalifu.

Kwa mfano, barabara inayoenda hospitali ya Rufaa ya Bugando ni giza tupu usiku hivyo kuhatarisha usalama wa wagonjwa na ndugu nyakati za usiku.

Barabara nyingine ni kama ya Buzuruga hadi Maduka Tisa, ni giza tu taa hazifanyi kazi nyakati za usiku.

Mamlaka ziangalie hali ya taa katika jiji la Mwanza.
 
Back
Top Bottom