Sasa Kwa taarifa Yako Wizara inatoa leseni Kwa kampuni binafsi zinafanga unless hujui maana ya real estatesKupima na kupanga miji si kazi ya kampuni binafsi,Kuna idara za ardhi kila wilaya nchi hii,uwe unafikiri
😁😁😁 Positive ni chache na nimesema Mji unakua Kwa hiyo wachukue hadhari usizidi kuharibika zaidi..Hizo observation zako ziko negative tu ..mbona positive hatujaona ..huoni kama observation yako itakuwa imeongozwa na chuki na sio uhalisia
Hujui watu wa mazingira wanafanya nini?.3.Jiji linanuka shombo ya Samaki Kila sehemu, sijui watu wa mazingira wanafanya kazi gani.
Nimeshangaa sana kuona unamjibu huyu fala wa sumbawangaHizo observation zako ziko negative tu ..mbona positive hatujaona ..huoni kama observation yako itakuwa imeongozwa na chuki na sio uhalisia
Kwamba hii kampuni ipo mbeya [emoji116][emoji116][emoji116]Sasa Kwa taarifa Yako Wizara inatoa leseni Kwa kampuni binafsi zinafanga unless hujui maana ya real estates
Matangazo kama haya hapa chini huwezi kuyakuta Mwanza View attachment 2615432View attachment 2615433
Wewe uelewa wako una shida sana!!Sasa Kwa taarifa Yako Wizara inatoa leseni Kwa kampuni binafsi zinafanga unless hujui maana ya real estates
Matangazo kama haya hapa chini huwezi kuyakuta Mwanza View attachment 2615432View attachment 2615433
Usipopaelewa wew inatosha .......Mimi sijawahi kupaelewa, naona kama vile watu wanatumia nguvu kubwa kupakuza. Iringa ni pazuri mara 100 ya Mwanza
Tunataka mambo kama haya hasa huko Nje ya Mji unakokua,hapo ni karibu mjiniKwamba hii kampuni ipo mbeya [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2615436
Hayo niliyoeleza yanahusika pia na fursa za kiuchumiWakati wengine tunaangalia fursa za kimaisha mwanza na wengine wanaangalia uzuri wa mji na barabara za lami.
Kwa kifupi Tanzania nzima inafanana Tu bado tupo nyuma Sana kimiundombinu..
Nimezaliwa DAR na kukulia DAR ila nikienda mikoani huwa moyo wangu unafurahi Sana Kutokana na mazingira na Hali hewa.
Denial of facts won't help you,kipi nimedanganya?Afu wengi wao unakuta katoka huko alikotoka kapita barabara ya mjini kati pale kuelekea kijijini kwao. Anaanza kuponda.
Sasa mtu analilia hakuna matangazo ya apartment wakati yamejaa mitandaoni tena zinapangishwa. Mfano hotel kingdom wana apartment tena zinaanzia 700k kwa mwezi niliwai panga moja.
Ujinga tuu
Acha upumbavu ...Hilo swali kawaulize mbeya , dodoma na Arusha.STUPIDhivi ilikuwaje Mwanza ikapewa hadhi ya jiji?walitumia vigezo gani?
mpumbavu ni wewe unaekuja kutukana hapa wakati swali limeulizwa,ugumu wako wa maisha na stress zako usizilete hapa pambana na hali yako acha watu wenye akili na uelewa waje wajibuAcha upumbavu ...Hilo swali kawaulize mbeya , dodoma na Arusha.STUPID