Public garden Arusha Zipo mkuu Tena 3 ..Kuna St. Theresa Garden ,Kwa Mkuu wa Mkoa Garden na Themi GardenPublic Gadern nazani ni tatizo la nchi nzima
kila mtu ananzuri yake,sikupingiHamna kitu nimefika kote ni uswazi tuu
Mji wa hovyo uliojaa maskini 🤣🤣
Mwanza imejaaa uswaza balaaMwanza ni Big uswazi City [emoji16][emoji16]
Ok Mwanza kuna nini?huyo ni hater wa mwanza, katakuwa kameandika huu uzi kapo geto hata mwanza hakajafika.
Mwambie hivi…. Wold Bank imetoa kibunda cha kutosha kwa serikali kwaajili ya kupanga miji, upimaji etc. Na tenda yote wamepewa makampuni binafsi, serikali na wadau wanaweza kushirikiana kwa hilo, wala si jinai.Sasa Kwa taarifa Yako Wizara inatoa leseni Kwa kampuni binafsi zinafanga unless hujui maana ya real estates
Matangazo kama haya hapa chini huwezi kuyakuta Mwanza View attachment 2615432View attachment 2615433
Tanga Je?Public garden Arusha Zipo mkuu Tena 3 ..Kuna St. Theresa Garden ,Kwa Mkuu wa Mkoa Garden na Themi Garden
Wewe utapata kisukari kwa kuiwaza Mwanza yaan nimekufatilia una wivu sana na MwanzaMji wa hovyo uliojaa maskini [emoji1787][emoji1787]
Mwanza ni Jiji la hovyo sana..Wewe utapata kisukari kwa kuiwaza Mwanza yaan nimekufatilia una wivu sana na Mwanza
Daah[emoji23][emoji23] wakina KONK MASTER Kitombile wakikuskiaMwanza ni Jiji la hovyo sana..
Ukiona matangazo kama haya hapo Mwanza is big slum anitag [emoji16][emoji16]
Unajua hyo kama unafatilia utagundua ni mtu asiyejitambua bro Sasa Kila kitu anataka kiwe mwanza sjui but Kila mkoa unacho chake na dodoma ni makao makuu haiwezekani kinachojengwa dodoma na mwanza lazima kiwepo but huo mjinga ana chuki zake binafsi nazan alibakwaDaah[emoji23][emoji23] wakina KONK MASTER Kitombile wakikuskia
Jamaa ana wivu wa kijinga mno kana ni baba wa familia mm nawapa pole TU Wana mzazi kichaa,,maana mwanza haimtambui,haimjui Wala haimuwaz na inapepea kibabe nazan ipo siku atakufa Kwa pressure.Daah[emoji23][emoji23] wakina KONK MASTER Kitombile wakikuskia
Jamaa jinga tu hili,ni ndezi moja kubwa jinga,sanaJamaa ana wivu wa kijinga mno kana ni baba wa familia mm nawapa pole TU Wana mzazi kichaa,,maana mwanza haimtambui,haimjui Wala haimuwaz na inapepea kibabe nazan ipo siku atakufa Kwa pressure.
Na ukifatilia Hana Kaz ya kufanya huwa ypo bize kuchochea TU Kanda Ili zifatiluane alafu ndo roho yake inarizika
Mm na wezangu tumeshauriana tuachane na haya mambo tunaonekana kama wehu Kwa kudili na punguani mmoja asiye na Hela,
We jaribu kuwaza humu mtu wa arusha ushawah ona anapost picha za kushindanisha? Tofaut na hili senge la NJOMBE limeshindwa kudili na mkoa wake linachochoe Arusha na mwanza wavutane na kujenga chuki kisa some one crazy
Bro ukifikir sana utagundua tunafanya upuuzi sana ndo maana mm huon sku hiz nakomaa na Uzi wa uchochoz
Huyu Yamaha Choice variable ni msenge kumbe hata Mwanza hapajui,
Jamaa jinga tu hili,ni ndezi moja kubwa jinga,sana
Dar unakaa tandale?Wakati wengine tunaangalia fursa za kimaisha mwanza na wengine wanaangalia uzuri wa mji na barabara za lami.
Kwa kifupi Tanzania nzima inafanana Tu bado tupo nyuma Sana kimiundombinu..
Nimezaliwa DAR na kukulia DAR ila nikienda mikoani huwa moyo wangu unafurahi Sana Kutokana na mazingira na Hali hewa.
Arusha unaiacha wapi? Umeenda Arusha siku za hivi karibuni?Ukitoa dar Jiji la pili kuwa na Barabara nyingi za lami ni mwanza but now sjui kama Dom imezid maana serikali nguvu nyingi imewekeza