ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,617
- 88,779
- Thread starter
- #41
Acha kuleta vichekesho weweMwanza imeiacha Dodoma mbali sana kwa kila kitu, kasoro majengo ya serikali
Acha kuleta vichekesho weweMwanza imeiacha Dodoma mbali sana kwa kila kitu, kasoro majengo ya serikali
We ndo mwehu ..hamna mtu mwenye akili timamu na Yuko matured atauliza swali la kijinga kama Hilo ..labda physcho ...mpumbavu ni wewe unaekuja kutukana hapa wakati swali limeulizwa,ugumu wako wa maisha na stress zako usizilete hapa pambana na hali yako acha watu wenye akili na uelewa waje wajibu
ni mwehu tu(kichaa) ambae anaweza kujibu matusi kwenye swali lisilokuwa na tusi,kenge we
Na watu wapumbavuAcha kuleta vichekesho wewe
Li Uzi limedoda watu wamelidharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kuleta vichekesho wewe
Kwani hii ni Ligue?Li Uzi limedoda watu wamelidharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku nyingine usirudie kuandika ukiwa umekaa chooni
Mji wa watu maskini ndio maana ya hiyo lugha Yako,waweke bei Juu nani atalala na watu hawana pesa?Mwanza nachopendea hoteli nzuri price reasonable.
Kwenu ni wapi?Mwanzaa nawaambiaga watu ni kubwa kwa kujengwa ila ni kwa kishamba balaa,
Mtu mfupi mweusi kuna mji gani unalingana na Mwanza kwa kila kitu ukitoa Daresalama hapa Tanzania?Mji wa watu maskini ndio maana ya hiyo lugha Yako,waweke bei Juu nani atalala na watu hawana pesa?
Mji wa hovyo uliojaa maskini 🤣🤣Mtu mfupi mweusi kuna mji gani unalingana na Mwanza kwa kila kitu ukitoa Daresalama hapa Tanzania?
Kwa hiyo matusi ndio yatasaidia kuondoa mabanda na shombo hapo Mwanza?Mleta maada analiwa KISAMVU.
huyo ni hater wa mwanza, katakuwa kameandika huu uzi kapo geto hata mwanza hakajafika.Hamna Cha observation hapa Bali umeongozwa na ego zako ... kwanza Koma kabisa kufananisha mwanza na vijiji...hyo shinyanga au tabora,,,,, idadi ya taa ilizonazo haifikii hata nusu ya taa zilizopo barabara ya kiseke buswelu na barabara ya nyasaka buzuruga.....
By the way..hujatembea mwanza na unaposema mwanza hamna mitaa ya kishua ..sijui capripoint ni mtaa wa waokota makopo ....
Anyway hizo zote ulizotaja hapo hamna jiji tanzania Lina quality hizo zote unazozihitaji...kama unabisha sema suu nikuonyeshe uchafu wa Arusha,dodoma na dar es salaam
Na Haina Mjadala...Ukiacha dar,Jiji la kweli kwa tz ni mwanza
Hii Battle nakuachia wewe....Kama ni mpangilio hata dar inabidi wajifunze Dom,maana dar nayo haijapangwa ipoipo tu
Mwanza ni Big uswazi City 😁😁Na Haina Mjadala...
Kuilinganisha Mwanza na nini nini huko ni kuikosea sana....
Hamna kitu nimefika kote ni uswazi tuuMleta uzi uliishia nyamagana,kwa kifupi mwanza utaielewa ukienda ILEMELA.