Mrejesho kuhusu gari la kuanzia maisha

Mrejesho kuhusu gari la kuanzia maisha

Asanteni sana wadau wa jukwaa hili, jana niliomba ushauri kuhusu gari la kuanzia maisha dogo dogo aina ya Toyota.

Kuna mdau alinipa option zaidi ya 5 kuhusu gari hizi
IST
ALLEX
RUNX
PREMIO
PASSO

Nilipenda jinsi RUNX na ALLEX zilivyo na muundo mzuri na kapo safi, baada ya kutoka kanisani nilipita showroom mliman pale kucheki ABCD nikapata RUNX used kwa bei nzuri sana. Baada ya kuikagua kila kona na kuridhia nimeamua kuinunua na bahati nzuri bei yake haijazidi juu ya bajeti yangu. Services watafanya wao Offer nimelipa Nusu na kesho namalizia

ASANTENI SANA WAKUU, NIKIPATA CHANGAMOTO JUKWAA HILI NITALITUMIA KUOMBA USHAURI.
hongera sana
 
Na ndiyo ushauri niliokupa kuwa chagua Allex au RunX hapo wale wanaozisema Ist vibaya umewapiga chenga ya mwili na bado unayo gari yenye matumizi rahisi kama IST
 
Asanteni sana wadau wa jukwaa hili, jana niliomba ushauri kuhusu gari la kuanzia maisha dogo dogo aina ya Toyota.

Kuna mdau alinipa option zaidi ya 5 kuhusu gari hizi
IST
ALLEX
RUNX
PREMIO
PASSO

Nilipenda jinsi RUNX na ALLEX zilivyo na muundo mzuri na kapo safi, baada ya kutoka kanisani nilipita showroom mliman pale kucheki ABCD nikapata RUNX used kwa bei nzuri sana. Baada ya kuikagua kila kona na kuridhia nimeamua kuinunua na bahati nzuri bei yake haijazidi juu ya bajeti yangu. Services watafanya wao Offer nimelipa Nusu na kesho namalizia

ASANTENI SANA WAKUU, NIKIPATA CHANGAMOTO JUKWAA HILI NITALITUMIA KUOMBA USHAURI.
Allex na runex ziko vizuri na zina body ngumu kushinda ist karibu nnazo kama gari 10 karibu uchague
 
Back
Top Bottom