Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,104
- 10,601
Mkuu tofauti ya hizi gari mbili ni ipi na ipi imemzidi mwenzieAllex na runex ziko vizuri na zina body ngumu kushinda ist karibu nnazo kama gari 10 karibu uchague
Mkuu tofauti ya hizi gari mbili ni ipi na ipi imemzidi mwenzieAllex na runex ziko vizuri na zina body ngumu kushinda ist karibu nnazo kama gari 10 karibu uchague
Old model zile ni nzuri imara bodi mpaka engine.Naonaga vitz new model nyingi zinachemsha 😅😅
Zile Mkataba ila aliyeunda new model katupiga kweny injiniOld model zile ni nzuri imara bodi mpaka engine.
Yeah sure, kuanzia kwenye design ya bodi hadi engine kazinguaZile Mkataba ila aliyeunda new model katupiga kweny injini
Utafanyiaje kwenye gari na gari lenyewe hukua nalo...!?Ah hapana sijawah fanya uzinzi kwenye gari
Hazina tofauti na zinaingiliana kila kitu na hao runex na allex ni nduguMkuu tofauti ya hizi gari mbili ni ipi na ipi imemzidi mwenzie
Mimi lazma nivute la kuendea kanisani na kaziniGari la kuzururia mitaani sio muhimu
Mkuu nina 4m naomba gari yoyote ya uwezo wanguHazina tofauti na zinaingiliana kila kitu na hao runex na allex ni ndugu
Tupe siri mkuu maana, nini kinatokeahongera mkuuu.
ila pokea onyo!!! usithubutu kufanyia matusi kwenye gari
Ipo hii kwa 4.5mMkuu nina 4m naomba gari yoyote ya uwezo wangu
Verosa hapana, Bora uoe wake watatu watakuonea huruma. Jini mnyonya damu.Njoo nikupe kwa ml.3.5 full ac haina shida yoyote kilometer 11 kwa lita cc 1998. Namba C
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Halafu unalipaki halizalishi kituMimi lazma nivute la kuendea kanisani na kazini
Vits old model ya kulia maishaHalafu unalipaki halizalishi kitu
Ushazeeka na magoto yanauma eti ndio ununue gari? Kwanininusikope ukaanza kula maisha ukiwa bado na nguvuNatania kidogo gari Unakopea hela ya wife tu.....yako unafanyia maendeleo
Ukisema ununie gari mpaka uwe na kipato kikubwa utanunua gari ukistaafu
Uoga wa maisha kakaUshazeeka na magoto yanauma eti ndio ununue gari? Kwanininusikope ukaanza kula maisha ukiwa bado na nguvu
Watu wanaogopa sana maishaUoga wa maisha kaka
Hahahaa.....pale opposite kuna viyard vya wapigajiMlimani city huwa zinapatikana used cars?