Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,213
- 9,712
Hta mm nisiwe muongoWatu wanaogopa sana maisha
Hta mm nisiwe muongoWatu wanaogopa sana maisha
bei zinaendaje mkuuAllex na runex ziko vizuri na zina body ngumu kushinda ist karibu nnazo kama gari 10 karibu uchague
Jamani wenye magari mwezi ujao nategemea na mie kuhamia kwenye kutembelea tako. Ukiondoa insurance, vitu gani vingine nahitaji ili niwe salama na kutokubugudhiwa na wale yange yange?
Fire extinguisher, triangle na nini vingine nahitaji
Hii stiker ya nenda kwa usalama naipata wapiUsisahau sticker ya nenda kwa usalama, mwezi uliopita askari wa Mafinga wamenilamba 30k kimasihara.
Huwa zinapatikana ofisi za RTO, huwa zinatoka kuanzia July, sina uhakika kama tayari zipo!Hii stiker ya nenda kwa usalama naipata wapi
Wakikusumbua uwe unanipigia simuJamani wenye magari mwezi ujao nategemea na mie kuhamia kwenye kutembelea tako. Ukiondoa insurance, vitu gani vingine nahitaji ili niwe salama na kutokubugudhiwa na wale yange yange?
Fire extinguisher, triangle na nini vingine nahitaji
Nipe namba yako. Nasubiri na mie nipate raha ya kutembelea tako.Wakikusumbua uwe unanipigia simu
Hivi hyo sticker naipatajeUsisahau sticker ya nenda kwa usalama, mwezi uliopita askari wa Mafinga wamenilamba 30k kimasihara.
Hilo limeisha chifuNipe namba yako. Nasubiri na mie nipate raha ya kutembelea tako.
Unapatikana wapiAllex na runex ziko vizuri na zina body ngumu kushinda ist karibu nnazo kama gari 10 karibu uchague
Tuko magomeni dar es salaamUnapatikana wapi