MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Ushirombo ni siku za nyuma ilikuwa iko ndani ya wilaya ya KAHAMA shinyang, ila kwa sasa imetengwa, in short ukifika Kahama ni masaa machache kuingia UShHivi Ushirombo ndoo wapii ,,,,
Ushirombo ni siku za nyuma ilikuwa iko ndani ya wilaya ya KAHAMA shinyang, ila kwa sasa imetengwa, in short ukifika Kahama ni masaa machache kuingia UShHivi Ushirombo ndoo wapii ,,,,
We sio mmoja wao na akina James D? nina mashakaKusema ukweli wapo lkn sijapata aliye nivutia, alfu mda mwingi nakuwa busy sana.. Namlilia coz alitokea kuuteka moyo wangu..
Natafuta kwasababu sina, hapana si anisaidie matumizi,, sikwasababu ya sex lkn sex nivitu ambavyo vipo kwa wapenzi unajua D mapenzi ni neno pana sana sema wengi wanalitafsiri kwa wanavyojua wao pia hapa siwezi kukupa jibu LA wazi kutoka moyono why natafuta mpnz,,,,,,Kwanini unatafuta mpenzi?
Kwasababu hauna? Akusaidie matumizi? Unaona umri unaenda bila mchumba wa kukuoa? Au kwa ajili ya sex?
Acha maneno nipigie tuongee 0655920008 kolomije lineNatafuta kwasababu sina, hapana si anisaidie matumizi,, sikwasababu ya sex lkn sex nivitu ambavyo vipo kwa wapenzi unajua D mapenzi ni neno pana sana sema wengi wanalitafsiri kwa wanavyojua wao pia hapa siwezi kukupa jibu LA wazi kutoka moyono why natafuta mpnz,,,,,,
Natafuta kwasababu sina, hapana si anisaidie matumizi,, sikwasababu ya sex lkn sex nivitu ambavyo vipo kwa wapenzi unajua D mapenzi ni neno pana sana sema wengi wanalitafsiri kwa wanavyojua wao pia hapa siwezi kukupa jibu LA wazi kutoka moyono why natafuta mpnz,,,,,,
kuna kitu anaficha huyu DabyHapo Umenichanganya saana ila twende tu maana sina nia mbaya.
Kwangu naona kwa umri wako mdogo unatafuta mpenzi kwa kutumia nguvu saana. Ilihali watakuja tu.
Lakini kama umenyea kambi. Yaani mtaani umeharibu kutongozwa tegemea asilimia 0.003.
Lakini pia kama hauvutii pia utachelewa kutongozwa.
Hata mimi nimeona. Mshauri mdogo wako tena mpo pande moja. Au bado haujaenda wewe!kuna kitu anaficha huyu Daby
Wewe sivutiii sijui nikwambiaje, wananitongoza sawa lkn vjana wa mtaani kwetu sitaki,Hapo Umenichanganya saana ila twende tu maana sina nia mbaya.
Kwangu naona kwa umri wako mdogo unatafuta mpenzi kwa kutumia nguvu saana. Ilihali watakuja tu.
Lakini kama umenyea kambi. Yaani mtaani umeharibu kutongozwa tegemea asilimia 0.003.
Lakini pia kama hauvutii pia utachelewa kutongozwa.
Usihangaike Jovitha, mimi nipo, njoo pm Unijaribu.Mpk anitoke moyoni
Kwani wewe unataka mwanaume wa aina gani. Orodhesha vigezo vyako vyote hapa chini. Usiogope.Wewe sivutiii sijui nikwambiaje, wananitongoza sawa lkn vjana wa mtaani kwetu sitaki,
Nakichunguza nijibu kwanza maswali yanguKitu gani mnahisi ninaficha
basi jaribu kutembelea sehemu ambazo kuna aina ha wanaume unaowataka....Wewe sivutiii sijui nikwambiaje, wananitongoza sawa lkn vjana wa mtaani kwetu sitaki,
Wa mitandaoni watamuyani hata hajakutia unamlilia hivi???...
pole sana....
unajisikia hivyo kwa sababu ni mpweke bado,ila ukishapata mwingine utamsahau tu eventually.....
halafu hawa wa mitandaoni em achana nao,kwani huko kitaa hamna wanaokutongoza....
Ndiyo katembelea JF ila isaac kamdumpbasi jaribu kutembelea sehemu ambazo kuna aina ha wanaume unaowataka....
kwa mfano leo mimi naenda clouds kupeleka tangazo,hope ntakutana na George Bantu wangu(hahha kidding though)