Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Kula tano kaka!!
Uchaguzi Rombo Need Revulution.
1. walalahoi: wakipewa mbege na T-shirt Mramba oyeee!!
2. Mafisadimatajiri) Dont talk against Mramba Near Them
3. Wasomi: Wote wako Dar
Wanaharakati kilio chetu kinaishia JF.
Ben: natamani sana sauti yako iwafikie wanarombo wote. Je itafikaje?
We will die complaining men!!!!
Mkuu Vivie,
Umenena,ila walalahoi wanastahili kuamshwa,watu wapige kampeni nyumba kwa nyumba.Jimbo la Rombo linahitaji mpambanaji kijana ktk kupiga kampeni za kulikomboa jimbo na kutekeleza yale niliyoyasema na mengine mengi
Mkuu,Kilio kitafika tu.Mikakati ikianza utakua wa kwanza kujulishwa,tunabanwa na mambo flani kwa sasa ila mkakati unasukwa.
Mabadiliko ni lazima,Rombo yenye neema inawezekana kabisa!