Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Mkuu Mpadmire,
Tupo ukurasa mmoja hapo
Tupo ukurasa mmoja hapo
hawa wanaomtetea Mramba wametumwa! Naona siasa za Kenya zinaanza kushika mizizi Tanzania kuna watu hapa hoja zao ni barabara waliyopelekewa huko Rombo na si kiasi gani anatakiwa kuwa accountable kwa upotevu wa fedha za walipa kodi wa nchi hii! Tuache siasa za ubinafsi jamani hako kamtu kanapaswa kawe Keko sasa! Rombo kuna watu zaidi ya 200,000 na katika hao lazma kutakuwa na wenye sifa za uongozi bora yaani kuchukua barton na kuliepusha jimbo na balaa la kutengwa kwake na serikali na bunge maana hawamtaki! Hizo hela zake anazotaka kuhonga ni bora awekeze maana atabwagwa hata akipita ndani ya CCM!
Siasa za Kenya kwa vile ameiba ila baadhi ya wanajimbo wake hawaoni hilo, ila kumuita mjanja! Kivipi bwana Ben? Mi namfananisha na Prof. Onderi (Waziri wa Elimu) na suala la fedha za elimu bure kwa watoto maskini wa Kenya, mbali ya auditing ya Price House water Coopers kung'amua ubadhirifu wa hali ya juu uliosababishwa na ku-channel fedha za maendeleo kwenye jimbo lake, wa-Kisii yaani wanajimbo lake bado wanamkingia kifua! hizi si siasa chafu mnazotaka kuleta katika nchi hii ya Nyerere!Mkuu,
Unajua unaposhindwa kujenga hoja na kukimbilia kwamba watu wametumwa unadhalilisha huu mjadala .Sasa na wewe unaemtetea huyo mama umetumwa na nani?
Je,wewe umeona kumtetea Mramba ni kama siasa za Kenya?mkuu ujue kuna watu ambao tuko hapa kujali maendeleo in regardless yanaletwa na mtu kutoka chama gani?
Jaribu kujenga hoja tujadili hawa wagombea na CV zao tuachane na kujadili waungwana wa hapa jamvini.Nimerudia tena,hoja hapa ni za wagombea ubunge wa rombo na title ya Thread inasema...MRAMBA:Another challenge"...akaletwa netburga.so jadili hawa watu na jimbo la Rombo.Salute
Mkuu,
Unajua unaposhindwa kujenga hoja na kukimbilia kwamba watu wametumwa unadhalilisha huu mjadala .Sasa na wewe unaemtetea huyo mama umetumwa na nani?
Je,wewe umeona kumtetea Mramba ni kama siasa za Kenya?mkuu ujue kuna watu ambao tuko hapa kujali maendeleo in regardless yanaletwa na mtu kutoka chama gani?
Jaribu kujenga hoja tujadili hawa wagombea na CV zao tuachane na kujadili waungwana wa hapa jamvini.Nimerudia tena,hoja hapa ni za wagombea ubunge wa rombo na title ya Thread inasema...MRAMBA:Another challenge"...akaletwa netburga.so jadili hawa watu na jimbo la Rombo.Salute
Sitetei huyo mama tu kama ukiangalia vizuri nimesema Rombo ina watu 200,000 na naamini watajitokeza wengine zaidi! ninachopinga ni Mramba akae pembeni asuluhishe Kesi yake for the good of you guys!- Ahsante sana!
Respect.
FMEs!
Sitetei huyo mama tu kama ukiangalia vizuri nimesema Rombo ina watu 200,000 na naamini watajitokeza wengine zaidi! ninachopinga ni Mramba akae pembeni asuluhishe Kesi yake for the good of you guys!
Yes ni kwa vile hatuna ustaaarabu huko Tanzania mtu mwenye mashtaka mahakamani hawezi kugombea jimbo lolote kwa nchi zenye demokrasia na zilizoendelea! what if atashinda uchaguzi na on verdict day is withheld to serve a jail sentence! Who will represent that constituent? unafikiria hilo au ushabiki wako tu mzee? kwanini wewe usigombee? au una kesi nawe? kuna watu chungu nzima wanaweza tawala kwa hilo jimbo tangu nizaliwe hako kamtu kako kabunge jamani hamna wakina Obama au Angela Merkel huko?- Mkuu wangu hebu ongea on sherias line, Mramba kugombea anavunja sheria yoyote ya jamhuri yetu?
FMEs!
yebo yebo ukiamua kutuliza akili zako huwa unaandika vitu vya maana sana.lakini wakati mwingine huwa sikuelewi kama vile ulivyosema kuwa shayo ni associate professor nilikushangaa sana.
Ndio Mramba ni msomi na mjanja.
Mramba ana weakness zake pia.
Kwanza mramba anawajali baadhi ya matajiri wachache wa Rombo, na anawabagua matajiri wengine.
Kibaya zaidi amewasahau wananchi wa kawaida.
Ameshindwa Tatizo la Maji kwa ukanda wa chini kabisa. Tatizo la maji lipo Tangu mwaka 1995 na halijapata ufumbuzi.
Wameleta kampuni ya Kili water, imesambaza mabomba kwa mchango wa nguvu za wananchi. Lakini hakuna hata siku moja mabomba hayo yametoa maji.Hakuna maji kabisa.
Afya: Afya bado sana. Hakuna Hospitali Ya serikali, Huruma ni ya Missionary.
Mtu akiwa Rongai au Tarakea na anaumwa itakuwaje, na hakuna ambulance???
Mashule: Mashule yamejengwa kwa nguvu za wananchi.
Ila suala la Maji ni issue kubwa na ni Tatizo sugu.
Sasa kwa miaka kumi akiwa Mbunge na Waziri alishindwa kutatua tatizo la Maji?
Kuanzia 2010 hadi 2015 ndo atafanya miujiza? na atakuwa hana nguvu bungeni kwa sababu ya kesi ya ufisadi.
Jiulizeni
Yes ni kwa vile hatuna ustaaarabu huko Tanzania mtu mwenye mashtaka mahakamani hawezi kugombea jimbo lolote kwa nchi zenye demokrasia na zilizoendelea! what if atashinda uchaguzi na on verdict day is withheld to serve a jail sentence! Who will represent that constituent? unafikiria hilo au ushabiki wako tu mzee? kwanini wewe usigombee? au una kesi nawe? kuna watu chungu nzima wanaweza tawala kwa hilo jimbo tangu nizaliwe hako kamtu kako kabunge jamani hamna wakina Obama au Angela Merkel huko?
Acha hasira wewe! Mramba hana chake pale, naona umekazania tu ati nina-turn mambo personal ki-vp? nimekuuliza katika watu zaidi ya 200,000 hamna mtu anayeweza kutawala huko mpk ung'ang'anize hako Kajizi! Niimekuuliza considering ethical background ya Mramba unayemtetea who doesn't deserve to stand for any post in Tanzania!- Mkuu basi hii kitu ni very simple ni mgombea anayetaka kumtoa kumuacha ashinde ahalafu aende kwenye sheria kwamba Mramba amevunja sheria kama amevunja kweli si ni ishu simple sana au?
- Ninakuona ukijaribu sana kuigeuza hii ishu kuwa personal, mimi sio mwananchi wa Rombo na siku zote ninasema hivi hebu yageuze hayo maneno yako ya personal iwe wewe kwanini wewe hugombei au na wewe una kesi hii itawasaidia nini wananchi wa Rombo mkuu? Hapa ninapoishi jirani yangu mmoja aliwahi kuwa mwenyekiti wa Chadema huko Rombo ndio maana ninakushangaa sana na unayoyasema bila kufikiri wala kujali ukweli wa huko Rombo,
- Ananiambia kwamba tatizo la Mramba huko Rombo ni Salakana, ambaye kwa sasa hana ubavu tena, kwa hiyo Mramba atashinda tena,au? Kama huna la maana ndugu yangu waachie wengine tuendelee mambo yako ya binafsi hapa hatuyahitaji samahani sana!
Respect.
FMEs!
Siasa za Kenya kwa vile ameiba ila baadhi ya wanajimbo wake hawaoni hilo, ila kumuita mjanja! Kivipi bwana Ben? Mi namfananisha na Prof. Onderi (Waziri wa Elimu) na suala la fedha za elimu bure kwa watoto maskini wa Kenya, mbali ya auditing ya Price House water Coopers kung'amua ubadhirifu wa hali ya juu uliosababishwa na ku-channel fedha za maendeleo kwenye jimbo lake, wa-Kisii yaani wanajimbo lake bado wanamkingia kifua! hizi si siasa chafu mnazotaka kuleta katika nchi hii ya Nyerere!
Yes ni kwa vile hatuna ustaaarabu huko Tanzania mtu mwenye mashtaka mahakamani hawezi kugombea jimbo lolote kwa nchi zenye demokrasia na zilizoendelea! what if atashinda uchaguzi na on verdict day is withheld to serve a jail sentence! Who will represent that constituent? unafikiria hilo au ushabiki wako tu mzee? kwanini wewe usigombee? au una kesi nawe? kuna watu chungu nzima wanaweza tawala kwa hilo jimbo tangu nizaliwe hako kamtu kako kabunge jamani hamna wakina Obama au Angela Merkel huko?
Nanfahamu huyu binti ni mchapakazi na mwenye uchungu na nchi yake . amekukuwa akiyakemea maovu kila anakopita kama baba yake mzazi ambaye alikuwa mbunge wa kwanza machachari kisiasa naamini waliokuwa nae bungeni miaka hiyo watakubali na ndio maana mramba kabla hajawa fisadi alimchagua kuwa kampeni meneja wake ...naamini kama siasa inarithiwa basi huyu binti atakuwa muadilifu na mchapakazi atakayeleta maendeleo makubwa katika wilaya ya rombo... big up sana Notburga usiogope wanaoweka chuki binafsi kaza buti....Nani kakwambia kama baba alishindwa basi na yeye hafai ?? Acha chuki za namna hiyo. Kama anafaa au hafai kura zitaamua.
Acha hasira wewe! Mramba hana chake pale, naona umekazania tu ati nina-turn mambo personal ki-vp? nimekuuliza katika watu zaidi ya 200,000 hamna mtu anayeweza kutawala huko mpk ung'ang'anize hako Kajizi! Niimekuuliza considering ethical background ya Mramba unayemtetea who doesn't deserve to stand for any post in Tanzania!
Kama zile barabara za Marangu - Mkuu Rombo -Tarakea, Mwika - Kilacha, Tarakea - Kamwanga zinaelekea kuisha.....kutakuwa na kazi kubwa sana ya kumuondoa huyu Mramba....labda watumie vigezo vya scandali zake CCM wasimpitishe......