Mramba: Another Challenge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mramba: Another Challenge!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Field Marshall ES, Feb 21, 2010.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 0
  - Wakuu haya kijana mwingine amejitokeza kum-challenge Mramba, mnasemaje?

  Respect.


  FMEs!
   
 2. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Katika wapinzani wa Mramba waliojitokeza mpaka sasa..huyu ana nafasi nzuri. Atasimama kwa tiketi ya CCM, Chadema au "Binafsi"..??
   
 3. G

  Gangi Longa Senior Member

  #3
  Feb 21, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mramba hana chake tena kwa jinsi sasa hivi walivyoweka utaratibu wa kuchaguliwa toka grass root! atawaonga wangapi? huyu mtu kwanza ana kesi ya kujibu! he is a dead man walking!
   
 4. G

  Gangi Longa Senior Member

  #4
  Feb 21, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  humo humo CCM ni kumchomoa Mramba ndani ya CCM
   
 5. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo kesi inaelekea kwisha kabla ya October.

  Jimboni Rombo ile Barabara ya Lami (Moshi Mjini > Marangu > Rombo > Tarakea) ndio inaelekea kukamilika...wapiga kura wetu wana desturi ya kuunganisha mafanikio kama haya na Mbunge wao moja kwa moja. So, Mramba jimboni kwake; kisiasa he is very much alive and kicking..!!
   
 6. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 14,128
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  wewe acha kujidanganya unajua Mramba aliiba kura uchaguzi wa 2000 dhidi ya Salakana wa Chadema! na Chadema walipoenda mahakamani walikuwa washinde kesi ndo Mkapa akaingilia kati na kuomba kesi isuluhishwe nje ya mahakama! na hiyo barabara ya Marangu-Rombo-Tarakea-Rongai unayoongelea ni moja ya ahadi za Mkapa pamoja na kulipa gharama za uchaguzi za Chadema kwahiyo ile barabara ni juhudi za Chadema na sio Mramba! Kwa watu wanaojua siasa za Rombo watakuambia Mramba na swahiba wake Ngaleku hawana chao pale!
   
 7. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 0
  - Sasa wakuu wa Rombo tupeni muongozo, je Mramba kweli hafai huko jimboni? Na kati ya hawa vijana wanaotaka kusimama naye nani anatufaa JF ili tumpe tafu?

  - Mkulu Yebo Yebo vipi unamfahamu huyu kijana tupe CV yake, au?

  Respect.


  FMEs!
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 14,128
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  Huyu mama ni Vice President wa TUCTA sasa na pia alikuwa Mkurugenzi LAPF sasa yuko Wizarani serikali za mitaa baada ya kufanyiwa mizengwe na wala rushwa wa LAPF. Kabla ya hapo ashawahi kufanya kazi kama Mkurugenzi wa mji Sumbawanga (alisababisha madiwani wote wakose kura baada ya kuanzisha ugomvi baada ya kumlazimisha kuwapa allowance zilizo nje ya uwezo wa halmashauri Sumbawanga Mjini wanamjua huyu mama na wanamzimikia mpaka leo) kama mnakumbuka kuna wakati habari yake ilitokea gazeti za Uhuru zikisema akataliwa ila baadae gazeti likaomba msamaha), Mkurugenzi halmashauri ya Mpwapwa na ukiulizia rekodi zake ni kuwa alikuta accounts hazina hela akaacha hizo account full mapesa! Elimu yake ana MBA in Human Resources and Administration. Hii ni kwa kifupi
   
 9. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,323
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni mtoto wa Alphonse Maskini mbunge wa zamani wa Rombo.
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  D Y N A S T Y !

  Alphonse Maskini alileta MAENDELEO yapi Jimbo la Rombo?

  Like Father Like Daughter!
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,233
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kama zile barabara za Marangu - Mkuu Rombo -Tarakea, Mwika - Kilacha, Tarakea - Kamwanga zinaelekea kuisha.....kutakuwa na kazi kubwa sana ya kumuondoa huyu Mramba....labda watumie vigezo vya scandali zake CCM wasimpitishe......
   
 12. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Very good question indeed. Na swali hili haliishii hapa, linaendelea hadi kule Mtera kwa Malecela.
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 14,128
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  Mramba ni mla rushwa alipokuwa Waziri wa Fedha, alichojua kufanya ni kutoa misamaha ya kodi kwa marafiki zake kama Michael Ngaleku Shirima (ambazo zime-cost hii nchi dearly)! hayo maendeleo mnayosema ameleta nawashangaa nyie watu technically ile barabara imeletwa kutokana na suluhisho na makubaliano ya Chadema na CCM chini ya Mkapa in exchange of a recall for new election in that constituent baada ya kuwa proven in the Moshi court aliiba kura in 2000 election and the results were to be nullified! msijidanganye Rombo kuna vigogo ambao wakisema unapita unapita na so far Mramba is not their choice so better cancel him out they can't put their constituent stakes at risk kumuweka fisadi to represent their interests in the Parliament!
   
 14. H

  Heri JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jamani ni vyema tuache kuassume kwa kila mbunge automatically atagombea . Kwa Mramba ninavyosikia , hana mpango wa kugombea tena. Nia kuu hasa ni kumaliza/kujua hitma ya kesi yake na baadaye kuweza kujishughulisha na mambo yake binafsi. Kwani anataka nini tena cha zaidi? Ameshatumukia kwa kutosha.
   
 15. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia kama baba alishindwa basi na yeye hafai ?? Acha chuki za namna hiyo. Kama anafaa au hafai kura zitaamua.
   
 16. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 14,128
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  D Y N A S T Y !

  Alphonse Maskini alileta MAENDELEO yapi Jimbo la Rombo?

  Like Father Like Daughter![/QUOTE]
  safi sana, Nimejaribu kudodosa, na nikapata hii habari! shule nyingi za wazazi za Rombo kipindi kile the likes of Kili boys, Namfua na nyinginezo na ushirika ulioleta maendeleo Rombo kipindi hiko yeye ndo alizisimamia na kuzianzisha kama Mbunge akishirikiana na wanavijiji kipindi kile ikumbukwe that was 1960s! so watu waache kelele zao halafu kizuri zaidi hakuwa fisadi! watu wasishangilie maendeleo ya kifisadi uliza yeye Mramba amevimbisha mfuko wake kivipi kwa hayo maendeleo mnayosema ameleta? ;)

  Maelezo zaidi ya huyu mama nenda hapa http://madarakanyerere.blogspot.com/2010/02/notburga-maskini-to-challenge-basil.html angalia tu speech yake na utagundua ni kichwa na Mramba anakalia kuti bovu soon!
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,604
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  Mimi ninamfahamu huyu mama kwakuwa nilifanya nae kazi Iringa wakati huo akiwa meneja wa kanda LAPF miaka ya 2005-2008.
  Huyu mama ni MKOROFI KULIKO MNAVYOMFIKIRIA. Anazo hizo qualifications za utawala lakini kwenye masuala ya Relations na wafanyakazi wenzake huyu mama ni SIFURI. Hana lugha nzuri, mbabe, anakutumikisha anavyotaka na ole wako umchallenge! Alimfukuza kazi dereva wake alikua anaitwa Mwakingwe kwa sababu za kipuuzi, Mwakingwe akakata rufaa akashinda akahamishiwa Arusha. Hafai.....

  Kwenye hiyo nafasi ya Ubunge Pinda anam-back-up, nasikia wanamahusiano (sina hakika ni mahusiano ya nini kwakuwa huyu mama HANA mume) na walifahamiana huko huko Sumbawanga (kwa hulka yake ni vigumu kuwa na mume) ingawa ni mzuri sana(sura+body structure)
  Ukiwa unaongea nae hivi kwa mara ya kwanza kama humfahamu, utajua huyu ni mtu wa maana, mzoee uone!!
  Nafasi aliyonayo Mama Six yeye pia aliigombea 2005 akaangukia pua.

  Anapenda siasa, anatumia muda mwingi kwenye siasa, LAPF Hawamtaki sio kwa sababu ya RUSHWA ila kufanya kazi na huyu mama kunahitaji UWENDAWAZIMU adhawaiz utafeli tu.
  Huu ni UKWELI, Geza ulole usiudanganye umma wa great thinkers bana
   
 18. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu Geza Ulole,
  Nikiangalia post zilizopita na hii hapo juu ni dhahiri hauko katikati, umeshachagua upande kabla hoja hazijafikia kileleni.

  Nakushauri uachane na mramba tumia nafasi hii kummuza mtu wako. Mramba is no longer there.
   
 19. t

  tony25 Member

  #19
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Research yako sio ya kweli kwani Kili Boys ilikuwa ya RC.
   
 20. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 0
  - Kijana mdogo hii ni thread ya Mramba, kama kumuongelea Malecela anzisha kule, pole sana naona unahangaika sana kila kona humu vipi mkuu sema usaidiwe! ila huwa sichezi na watoto wadogo! ni nyundo tu! remember unhh! upanga kwa upanga Bwa! ha! ha! huja-recover mpaka leo tu!

  Es = Sauti Ya Umeme
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...