Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 780
- 1,831
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.
Mabeberu wanatuonea wivu wamegoma kuendelea na ujenzi, #MsiogopeTumeshinda
Pia soma:
~ Mbona ujenzi wa SGR hapa jiji la Mwanza na kwenda Isaka umekwama?
~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR