GE2025 Mr. Tabasamu usijisahaulishe. Nakukumbusha baada ya uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe.

GE2025 Mr. Tabasamu usijisahaulishe. Nakukumbusha baada ya uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe.

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Mipango yako tunajua hujaisitisha. Kule kujishusha kwako tunajua ulikuwa mtego lakini mtego mabua usioweza kumkamata hata panya. Nakukumbusha tuu baada ya huu uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe. Kama unafikiri 2030 utamweka yule kijana wako hilo wazo futa. Nitazame hivihivi ukiniona. Habari unayo. Na bado
 
Mwalimu acha mkwara😄😄😄.
ikulu itahamia chalinze msoga
 
Mmebana kila mahali. Sasa hata kunya tu mnataka kutubania. Kumbukeni kunya ni haki ya msingi ya kila MTU. NI fundamental universal human rights. Baneni kila kitu ila msitunyime kunya. Mkithubutu tu kufanya hivyo believe me patachimbika maamae.

Uumbwaa adriz
Kunyeni macchakani wajinga nyie
 
Mkimuua Kikwete na saa100 lazima afe nchi irudi kwa wenye nayo

Hamtoboi 2030 Kama mna ujanja kwanini msimuue leo?
 
Back
Top Bottom