Namna ulivyo ileta taarifa yako ni kama watu wote tupo kichwani mwako. Kumbe mjomba ukweli hauko hivyo. Jaribu kuandika habari yako kwa kina ili ueleweke.Binafsi namkubali sana Mr T Touch but jamaa amekuwa wa kiwaki sana siku hizi, muda wote anajaribu kuonesha ukubwa wake kwa lazima and sometimes kwa kutumia mbinu ya kumshusha mwengine aonékane si lolote, hii haipo sawa. Jamaa anahitaji cancelling
Ungetufafanulia huyo ni Nani kwanza na kafanyajeBinafsi namkubali sana Mr T Touch but jamaa amekuwa wa kiwaki sana siku hizi, muda wote anajaribu kuonesha ukubwa wake kwa lazima and sometimes kwa kutumia mbinu ya kumshusha mwengine aonékane si lolote, hii haipo sawa. Jamaa anahitaji cancelling
Ngoma ikivuma sana! HUPASUKA.Binafsi namkubali sana Mr T Touch but jamaa amekuwa wa kiwaki sana siku hizi, muda wote anajaribu kuonesha ukubwa wake kwa lazima and sometimes kwa kutumia mbinu ya kumshusha mwengine aonékane si lolote, hii haipo sawa. Jamaa anahitaji cancelling
haiwezekani hata kidogo touch ni mchache namfahamu huyu Salim Kassim tokea akiwa mdogo R.I.P mzee kassimS2kizzy umeamua kuja huku kuchamba umbea?? T Touch ni mkali kuliko wewe, em kubali bhana.
Kumfahamu wewe binafsi ndio kufanye asiwe mkali? Mbona uko nje ya mada.haiwezekani hata kidogo touch ni mchache namfahamu huyu Salim Kassim tokea akiwa mdogo R.I.P mzee kassim
nimeandika in short wewe bishosti usinung'unike tulianza kupiga hizo vyombo kitambo hata kabla huyo anklo T haijui keyboardKumfahamu wewe binafsi ndio kufanye asiwe mkali? Mbona uko nje ya mada.
Wewe ni S2kzzy au chawa wake? Sikuelewiiinimeandika in short wewe bishosti usinung'unike tulianza kupiga hizo vyombo kitambo hata kabla huyo anklo T haijui keyboard
ndio mími ndiyeWewe ni S2kzzy au chawa wake? Sikuelewiii
😂😂😂
Poleee, T touch ni mkali kuliko wewe,ndio mími ndiye