Tonykp
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,642
- 680
Mpe hi shem.....ndoto zimeisha mkuu.....
Last edited by a moderator:
kabisa mkuu Mwanyasi amewashushia heshima wakongwe wetu humu hajui tunachota busara kwao
Hizi ndio taabu za hawa vijana wa dot com,
Kuhusu uzi huu, mimi naandaa ka-party kadogo kwaajili yako,
jioni kutakuwa na kosta mbili pale mianzini ili kubeba memba kwenda ngurudoto!
Idara ya vinyaji watakuwepo PakaJimmy, LiverpoolFC na Erickb52
chakula Mamndenyi, Baba V na Mzee Mtambuzi nikiwa chair wa shughuli
mwekundu asante sana mkuu Heaven on Earth anatisha mbaya kabisa aise
Jerrymsigwa tumuulize watu8 kama kuna cheti aise ila asante sana mkuu
Mwanyasi namshangaa Arushaone anasema hakuna wazee wakati kuna Dark City na Asprin na Bishanga na mzee Mtambuzi aise
Asante sana mkuu
charminglady asante sana nafurahi kwa card na naamini yametoka moyoni mwako
Asante sana
Rocky city inasemaje
Ladymasa huyu jamaa 24hrs inabidi atafutiwe RB kabisa aseme yuko wapi na kwa nini kapotea hivyo aise
Heaven on Earth asante sana dearhongera Mr Rocky.......ur the best ALWAYS
Ladymasa nishaenda kuichukua hapa na nimewapa police kazi ya kumtafuta usiwe na shaka atapatikana tuuAaaaaaaaaaaaaaaakabisa inabidi ufanye hivyo haraka iwezekanavyo
grafani11 nimemfungia kwa mda asije hukuHeaven on Earth asante sana dear
nashukuru sana japo sijamuona mdogo wangu grafani11
hajui we are partner in crime
nakumiss wewe
grafani11 nimemfungia kwa mda asije huku
mie mwenyewe nakumiss sana
halafu nilikuwa sujaja cc siku ming
dogo lake hujambo? Baadae nitakutafuta kwenye mokibeli
Nimeota ndoto ingine...tena inakuhusu....
mmmh, kama ni nzuri niambie kama ni mbaya usiniambie maana sikawii kuona mauzauza