Sokwe Mjanja
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 575
- 298
Mzee hii imesimama hasa!it goes like this: everyone helps a girl removing her cloths during or before sex but nobody helps her in putting her cloths back after sex. 'once you are ****ed up nobody helps you'
Poor analogy! You are very insensitive! Shame??it goes like this: everyone helps a girl removing her cloths during or before sex but nobody helps her in putting her cloths back after sex. 'once you are ****ed up nobody helps you'
Poor analogy! You are very insensitive! Shame??
ujinga umemponza alizani pesa ya kuitangaza celtel haitakuja kwisha. mismanagement of money
ujinga umemponza alizani pesa ya kuitangaza celtel haitakuja kwisha. mismanagement of money
Hapana Mkuu sio Ujinga.... Watu kama Hawa wanahitaji washauri na kosa sio lake ni Management huwezi ukawa unauwezo katika kila department, thats why Taasisi inabidi ziwepo za kuwajali na kuwashauri hawa wasanii.
did he seek advice? si alijiona kamanda wa kutanua na mabinti kila ukicha na ukichwa?
Mh!basi utakuwa bado mtoto,kwa kuwa yeye mashabiki wake wakubwa ni watoto,na nyimbo zake ni za kitoto!!mie bado nampenda sana..
Mh!basi utakuwa bado mtoto,kwa kuwa yeye mashabiki wake wakubwa ni watoto,na nyimbo zake ni za kitoto!!
ujinga umemponza alizani pesa ya kuitangaza celtel haitakuja kwisha. mismanagement of money
Mkorogo mwee
Na baaaaado si alizani Dunia imeganda haizunguki, na atakoma inawekekana akafulia mazima sababu takeu style haina soko na watoto wanapenda miziki ya wakubwa sasa hivi
Siku utakayofulia na wewe utayakumbuka maneno yako.