Mpokeeni mdogo wangu huko Uswiss

Mheshimiwa naomba na mie kusema, hii siredi ni kuhusu Mgeni lakini Mchungaji na mamaNkinda wameikomalia kama yao huku umeme hamna na madini yanaenda...nawakilisha tu...
 
...wasi wasi wa nini? dunia mwalimu!....atatia mwenyewe akili ughaibuni.
Mwambieni asiendekeze aibu. Atashindwa hata kuuliza kituo atachoshukia
nakujikuta anazunguka na basi siku nzima!
Wasiwasi muhimu kaka ukizingatia ni kijana wa kwanza kwenda ughibuni na ukizingatia ukame wa mwaka huu. Akikosea kidogo tu mambo yameyumba.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mheshimiwa naomba na mie kusema, hii siredi ni kuhusu Mgeni lakini Mchungaji na mamaNkinda wameikomalia kama yao huku umeme hamna na madini yanaenda...nawakilisha tu...
Hivi vijana wa siku hizi mmeharibika kapisa kapisa?!
 
kwa haraka haraka huyu mdogo wako atakuwa anachezea miaka 23-26... Damu mbichi kabisa hii.. Vipi mchungaji nakuona all the time uko kwenye hii thread .. Huyu binti anahitaji baraka zako kweli kweli.
 
kwa haraka haraka huyu mdogo wako atakuwa anachezea miaka 23-26... Damu mbichi kabisa hii.. Vipi mchungaji nakuona all the time uko kwenye hii thread .. Huyu binti anahitaji baraka zako kweli kweli.

Mtakatifu! dogo si binti ni mwana yaani wa kiume.
 

...sawasawa,...sasa nimekuelewa. Atakuwa kwenye mikono salama ya Mch. Masa na Bi Lizzy.


hiyo mikono nani kasema iko salama? we ione inavyogombana tu.....mara toka nje, mara kaa nyuma, mara mie niko mbele mara weee UTAJIJU, mara mapumziko na tarabu, mara kuna mechi kati ya Bongo movies na waheshimiwa, harafu eti mikono salama...hahahahah nicheke mie
 
Wapendwa wanajamvi nina mdogo wangu anaenda kusoma masters ughaibuni-Swiss kwa hiyo ndugu zangu Wabongo na East Africa kwa ujumla mlio wenyeji huko naomba mmpokee na kumsaidia mambo mbalimbali ili ajione yupo nyumabani.

Atakuja huko mwezi September na atakuwa maeneo ya Neushatel.

Mkuu, wewe na huyo nduguyo msituyeyushe banaaa. Ukiwa ugenini/ughaibuni mwenyeji wako ni pesa zako, mdomo wako na akili yako na jinsi utakavyoichanga. Mdomo ukiwa zege ama maimuna ama lack of confidence basi mambo mengi yatayumba. Mwambie aende huko na aanze shule. kuhusu wabongo kama wapo it's just a matter of time watakutana mtaani.
 
Hahahaaa, hii imenikumbusha jamaa kagombana na GF wake ambaye ndiyo kwanza kafika Ulaya kutoka Tanzania. Jamaa si kaenda kununua mauwa! Binti kuona mauwa, kayatupilia mbali na matusi juu. Kweli duniani tunapishana tabia. Mbongo hapo wee muingize kwenye gari zuri hata kama la kukodi, mdanganye waziwazi na yeye anazidi kufurahia na hata kusema, chombeza zaidi :)

Mchungaji yeye kasheshe maana mitaa yake hiyo, Schengen hatambuliki. Labda atumie ile Viza alipata kwenda kuhubiri Uholanzi maana huko dhambi zimekithiri na wale watu inabidi maombezi makali sana na inabidi mchungaji awe na roho ngumu kwa kuhubiri watu wakivuta Jani lenye mbegu.

...LOL...nadhani umuwahishe shopping ya winter warmers kabla pupwe halijaingia....
Mwenzako katokea kwenye Summer ya Bongo, atakushangaa unafurahia jua la nini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom