Mpokeeni mdogo wangu huko Uswiss

mwananyiha

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
248
43
Wapendwa wanajamvi nina mdogo wangu anaenda kusoma masters ughaibuni-Swiss kwa hiyo ndugu zangu Wabongo na East Africa kwa ujumla mlio wenyeji huko naomba mmpokee na kumsaidia mambo mbalimbali ili ajione yupo nyumabani.

Atakuja huko mwezi September na atakuwa maeneo ya Neushatel.
 
Jina...sura...kabila...tabia...vyote ni muhimu kuwafahamisha watu ili asaidiwe ipasavyo.
 
Wapendwa wanajamvi nina mdogo wangu anaenda kusoma masters ughaibuni-Swiss kwa hiyo ndugu zangu Wabongo na East Africa kwa ujumla mlio wenyeji huko naomba mmpokee na kumsaidia mambo mbalimbali ili ajione yupo nyumabani.

Atakuja huko mwezi September na atakuwa maeneo ya Neushatel.

why do you have to make this so public? whats so special yeye ndo wa kwanza?
 
Acha wivu bana...ndio yeye ni wa kwanza kwao...kwenye ukoo...kijijini....shuleni kwao/chuoni...ofisini....na pia TANZANIA.Sidhani kama kuna ubaya akimtafutia mdogo wake wenyeji sehemu ambayo hakuwahi kufika kabla...
 
LOL...mchungaji taratibu bana...ha hhhha...'Schengen Visa' inafanya kazi kote huko.

Mbu watu wanataka Jinsia na Kabila ili wajue pa kuingilia sasa wewe hujagundua
Afu baba Mchungaji nina wasi wasi nae hao kondoo wake watakuwa washapotea
 
why do you have to make this so public? whats so special yeye ndo wa kwanza?
hilo limenishangaza hata mimi....btw....lini Yaeda, nyanyi wamenona sana ndo msimu wao....uje nikuwindie hata tuwili twa supu
 
why do you have to make this so public? whats so special yeye ndo wa kwanza?

Yeye si wa kwanza. Inapendeza unapokwenda sehemu ukawa na wenyeji, na ingekuwa yeye ni wa kwanza basi uzi huu isingekuwa na maana kwa sababu ingekuwa sawa na kuomba jamvi msibani.
 
Acha wivu bana...ndio yeye ni wa kwanza kwao...kwenye ukoo...kijijini....shuleni kwao/chuoni...ofisini....na pia TANZANIA.Sidhani kama kuna ubaya akimtafutia mdogo wake wenyeji sehemu ambayo hakuwahi kufika kabla...

hahahaha Lizzy nimekufaham, ila mi kweli nina WIVU, na mtu mmoja tu hapa AshaDii..
 
Yeye si wa kwanza. Inapendeza unapokwenda sehemu ukawa na wenyeji, na ingekuwa yeye ni wa kwanza basi uzi huu isingekuwa na maana kwa sababu ingekuwa sawa na kuomba jamvi msibani.

...Mwananyiha umefanya vyema sana kuuweka unyuzi huu...uenyeji unasaidia sana ugenini.... miezi mitatu ya kwanza home sickness mnaweza shtukia kijana karudi Bongo. Tanzania Associations zimetapakaa kila mahala...

Tanzania Association in Switzerland chungulia hapo kwanza mjue pa kuanzia japo naamini utapata pm mbili tatu pia.
 
Mbu watu wanataka Jinsia na Kabila ili wajue pa kuingilia sasa wewe hujagundua
Afu baba Mchungaji nina wasi wasi nae hao kondoo wake watakuwa washapotea

Jamani kabila ni mtanzania. Atakae kuwa tayari kumpokea wataongea zaidi. Ingawa jaribuni kukumbuka msamaria mwema alimsaidia mtu ambae si wa kabila lake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom