Mpokeeni mdogo wangu huko Uswiss

Nimekusoma sasa...nwy wenyeji wapo ila asiende tu na tabia za ajabu ajabu...na uswahili kama anao auache DIA.

Uswahiliswahili ninavyomjua hana ila ana kaushamba kidogo.Ndio maana tunakuwa na wasiwasi.
 
Mh Spika naomba Mwongozo1. Mchangiaji amesema tabia za ajabu ajabu ni zipi hizo2. Uswahili kwanini auachie DIA (nadhani alikuwa ana maana JNIA)Naomba afute hizi kauliNaomba kuwakilisha.
Hivi weweeee...nani aliyekuruhusu kuuliza maswali?!Maagizo yametolewa sharti yafuatwe.
 
Uswahiliswahili ninavyomjua hana ila ana kaushamba kidogo.Ndio maana tunakuwa na wasiwasi.
Afadhali...bora ushamba kuliko uswahili.Nwy wala hamna haja ya kua na hofu...ingekua anatoka majuu kwenda dasilamu ndo hata mimi ningewasaidia kua na wasiwasi.
 
mpendwa, baba mchungaji anaruhusiwa kuchinja kakondoo kamoja kila sikukuu ya vibanda, sasa asipokula madhabahuni kama mama mchungaji akiwa hayupo itakuwaje?
Afu baba Mchungaji nina wasi wasi nae hao kondoo wake watakuwa washapotea
 
Afadhali...bora ushamba kuliko uswahili.Nwy wala hamna haja ya kua na hofu...ingekua anatoka majuu kwenda dasilamu ndo hata mimi ningewasaidia kua na wasiwasi.

...lol.....una visa sana wewe, hhahha...
 
Mwambie nipo Zurich akishuka aulize pale arrival desk wapi nitampata Abby? Siangalii kabla wala jinsia utaifa kwangu una maslahi zaidi.K.A.R.I.B.U S.A.N.A.
 
Uswahiliswahili ninavyomjua hana ila ana kaushamba kidogo.Ndio maana tunakuwa na wasiwasi.

...wasi wasi wa nini? dunia mwalimu!....atatia mwenyewe akili ughaibuni.
Mwambieni asiendekeze aibu. Atashindwa hata kuuliza kituo atachoshukia
nakujikuta anazunguka na basi siku nzima!
 
Mwambie nipo Zurich akishuka aulize pale arrival desk wapi nitampata Abby? Siangalii kabla wala jinsia utaifa kwangu una maslahi zaidi.K.A.R.I.B.U S.A.N.A.

...khaaaa? Abby wee....hhhahhhaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom