Mpenzi wangu wa zamani anaolewa kesho..

Mpenzi wangu wa zamani anaolewa kesho..

Kiukweli inaelekea unachagua maini,Watoto wazuri ndo mana wanaolewa mapemaaa ukiwaacha
 
kuna wanaume ukidate nao unapata bahati ya kuolewa nafikiri we ni mja wao .una umri gani tudte japo kwa one month?
 
mpigie umwambie umpige bao la kuagana bwana au wewe ni wale ambao mkiachana mnaachana kwa matusi lol
 
Mzee nawee ulikuwa wa moto sana. basi yafaa pia umtakie kheri mpenzio huyo wa zamani...
 
pole mkuu... naona huu ulikuwa mwaka wa shetani kwako... jipange kwa mwaka ujao!!!!
 
Doesnt that tell you something about yoirself? Kwamba you are a fugitive kama sio a gipsy? Wote uliwaona hawafai wenzio wamewafaa, na wewe.ndo umedoda.
 
Mimi wangu anaolewa tarehe 25...........namuonea huruma "shemeji" yangu mtarajiwa serously
 
Pole sana..Jaribu kutafakari sababu ya kuachwa kama tatizo lipo kwako au ni wao. Zaidi sana jaribu kufanya maombi ili kama kuna nguvu za giza ziondoke..kwa maelezo zaid wasiliana na Mamdenyi ana shuhuda za maombi
Asimsahau Kaunga
 
Mungu ni mwema! Awalinde kwenye ndoa zao

Naweza kusema toka mwezi wa saba hadi kesho wapenzi wangu 4 watakuwa wameolewa..hapa naamanisha nilionza mahusiano toka nikwa Secondary mapenzi ya kuandikiana barua na kubadilishana albamu,High school,chuo,Kazini na kwingineko tulikokutana tuakaanza mahusiano ya mda mrefu kisha tukatofautiana kwa namna moja au nyingine na kuto-ombeana misamaha kila mtu akachukua zake basi kesho jioni atakuwa anafunga ndoa mpenzi wangu mwingine..Mbaya zaidi amenipa card ya Mwaliko..sijui niende sijui nitulie zangu home au tutatazamana kwa jicho la namna gani ukumbini??

Ngoja nijipe moyo nitapata anayenifaa..
 
Duuuuuu
lara2
MLISEMA HAOLEWIIIIIIIIIIII!!!!!! NDO ANAOLEWA HUYOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!! AIBU YETU? AIBU AKO? AIBU YAKO MWENYEWEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!

Uliiona YA NINI? Wenzio wakawaza WATAIPATA LINI!!!! NA WAMEIPATA WSHAIWEKA NDANI YA NYAVU!!!!!!!! We lako JOTO tuuuuu, hupati BARIDI maishaaaa!!!!!!!!!

Kesho mida ya jioni WE OGA, KOJOA ULALE SAA MOJA!!!!!!!! Usije KUTUBANA ukumbini, kwanza utaongeza joto tuuuuu!!!!!!!!!!
 
baada ya miaka 2 utakuwa unatuhadithia jinsi hao wapenzi wako wa zamani wanavyotamani kurudisha majeshi,kama huamini pitia pitia siredi za namna hiyo,zimejaa kibao.
..we nenda kale misosi kama unakunywa bia piga za kutosha,just enjoy it bro
 
Back
Top Bottom