Mpenzi wangu wa zamani anaolewa kesho..

Mpenzi wangu wa zamani anaolewa kesho..

pole sana.UNDA TUME,fanya uchunguzi.
Ukienda,msalimie huyo mpenzi wako wa 4 ambae anaolewa na muoaji kwa kuwa wewe c muoaji.
Jaribu Tena
 
Inaonyesha wewe ulikuwa ni mchakachuaji kama CCM.Angalia sasa CDM inachukua IKULU.
Unatafuta shuka kumekucha. Wakaka wenzangu acheni kuchezea mabinti za watu hovyo hovyo then mkisha kula MWALUKEGA wanaonekana eti wana matatizo, wapi?????????
 
Back
Top Bottom