Mpenzi wangu wa zamani anaolewa kesho..

Mpenzi wangu wa zamani anaolewa kesho..

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,988
Reaction score
1,437
Naweza kusema toka mwezi wa saba mpaka leo wapenzi wangu 4 watakuwa wameolewa..hapa naamanisha nilionza mahusiano toka nikwa Secondary mapenzi ya kuandikiana barua na kubadilishana albamu,High school,chuo,Kazini na kwingineko tulikokutana tuakaanza mahusiano ya mda mrefu kisha tukatofautiana kwa namna moja au nyingine na kuto-ombeana misamaha kila mtu akachukua zake basi mpaka kufikia leo jioni atakuwa amekwishafunga ndoa mpenzi wangu mwingine..Mbaya zaidi amenipa card ya Mwaliko..sijui niende au nitulie zangu home na nikenda tutatazamana kwa jicho la namna gani ukumbini na nkienda nimpelekee zawadi gani ?

Ngoja nijipe moyo nitapata anayenifaa..


WIVU SINA ILA ROHO INANIUMA..
 
he he he he, pole weye

ukisusa wenzio wala yakheee
 
Pole sana ndugu....!! Usijali, utapata tuu atakaye kuwa wako..! Hao hawakuwa wako..!
 
Pole sana..Jaribu kutafakari sababu ya kuachwa kama tatizo lipo kwako au ni wao. Zaidi sana jaribu kufanya maombi ili kama kuna nguvu za giza ziondoke..kwa maelezo zaid wasiliana na Mamdenyi ana shuhuda za maombi
 
Last edited by a moderator:
Nenda tu huenda kuna utakalojifunza kwenye harusi ya ex-girl wako!!
Ila wanne wote hukuona hata mmoja..!?
Ukichagua sana enhee..., angalia usijeishia kupata koroma..,uwakumbuke hata hao wannee uliowaacha before.
Think twice Jamii01!
 
MLISEMA HAOLEWIIIIIIIIIIII!!!!!! NDO ANAOLEWA HUYOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!! AIBU YETU? AIBU AKO? AIBU YAKO MWENYEWEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!

Uliiona YA NINI? Wenzio wakawaza WATAIPATA LINI!!!! NA WAMEIPATA WSHAIWEKA NDANI YA NYAVU!!!!!!!! We lako JOTO tuuuuu, hupati BARIDI maishaaaa!!!!!!!!!

Kesho mida ya jioni WE OGA, KOJOA ULALE SAA MOJA!!!!!!!! Usije KUTUBANA ukumbini, kwanza utaongeza joto tuuuuu!!!!!!!!!!
 
Naweza kusema toka mwezi wa saba hadi kesho wapenzi wangu 4 watakuwa wameolewa..hapa naamanisha nilionza mahusiano toka nikwa Secondary mapenzi ya kuandikiana barua na kubadilishana albamu,High school,chuo,Kazini na kwingineko tulikokutana tuakaanza mahusiano ya mda mrefu kisha tukatofautiana kwa namna moja au nyingine na kuto-ombeana misamaha kila mtu akachukua zake basi kesho jioni atakuwa anafunga ndoa mpenzi wangu mwingine..Mbaya zaidi amenipa card ya Mwaliko..sijui niende sijui nitulie zangu home au tutatazamana kwa jicho la namna gani ukumbini??

Ngoja nijipe moyo nitapata anayenifaa..

Kwanini unatumia maneno hayo in red?
 
dada huyooo anaolewa,dada huyooo anaolewa ,mahariiii keshatolewa,,

kaka we nsaidie tu kuimba ukumbini hakukuhusu usije ukaenda dondosha michozi bure ukatuharibia shughuli,

ushauri jipange ukipata wako usimcheleweshe weka ndani fasta ,waswahili wanasema wa kwako akiwa kwako kama bado yupo nje kila mtu naye anamuona kwa jicho hilohilo lako,
 
Ukweli naumia ila sina namna...
 
.....nenda tu bi harusi wala hana time, pale atakuwa busyyyy kufurahia siku yake......
 
Teh teh majuto ni mjukuu. inabidi ajipange upya sasa

Na siku hizi watu wananasiana, sio kama zamani angeeza ibia kidogo na kukumbushia enzi. Akijaribu tu sasa, kwishney tutaandamana Hospitali kuangalia senema ya buree ivoo!
 
Na siku hizi watu wananasiana, sio kama zamani angeeza ibia kidogo na kukumbushia enzi. Akijaribu tu sasa, kwishney tutaandamana Hospitali kuangalia senema ya buree ivoo!
Duuu..ha ha ha!! mweee atalijua jiji.. kunasiana imeleta heshima ya ndoa japo kidogo..
 
Back
Top Bottom