Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Et ananichamba nilimcheka jana mi alikua anataka nilieeee
Dina... yameisha banaa...
Et ananichamba nilimcheka jana mi alikua anataka nilieeee
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!
Mi nishamsamehee haki ya mungu
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!
Dina... yameisha banaa...
Ubarikiwe sana...
hahhahaha Nakupendaga sana kwa hilo,huna tatizo kabisa dear wanguMi yashaisha kwan nna hila basiiii
Mimi na dina wangu wala hatuna tatizo mwenye huo ujumbe anajijua..thenx kwa ushauri lakinibasi muyamalize its not good kusemezana namna hii in public like this even if hamjuani.right?
Mimi na dina wangu wala hatuna tatizo mwenye huo ujumbe anajijua..thenx kwa ushauri lakini
Hata hivyo yameisha kabisaaaa amani mia mia, wala hutaona tenaok poa.
basi muyamalize its not good kusemezana namna hii in public like this even if hamjuani.right?
Amesema ni ruhusa kuoa mke aliyemzid umri
Anaogopa eti
kama ni 1 au 2 year si mbaya
Umechelewa namba mwalimu.....